Kesi ya Mbowe na wenzake, Serikali isitese watu bila sababu

Hatuingilii mwenendo wa Mahakama lakini kuna mambo yapo dhahiri ambayo, laiti kama Jaji angekuwa makini, Mawakili wa Serikali wasingekuwa wanaichezea Mahakama kama wanavyofanya.
Kama ambavyo akina Kingai hawakujipanga ndivyo na Akina Robert Kidando hawakujipanga.

Hii kesi ikiisha tu Kidando anakuwa Jaji
 
Ingekuwa jambo zuri kuundwa kwa tume huru kuchunguza mienendo ya task forces zilizokuwepo na kuchunguza watu kama kina Swila, Goodluck , Jumanne, Mahita pamoja na watu waliokuwa wakiwapa orders.
Polisi ndio walalamikaji, washtaki, wapelelezi, wachunguzi n.k
 
Kiukweli kinacho watokea Jamhuri kwenye hii kesi, ni aibu tu na ambayo hawakuitarajia hata kidogo.

Na wafahamu fika Watanzania wengi tunaifuatilia hii kesi kwa umakini mkubwa, ili kujua mwisho wake.
Walidhani wanamkomoa Mbowe na Chadema.

Eti mashahidi ndio wana hofu na kutetemeka kuliko washtakiwa wanaokabiriwa na kitisho cha miaka 30 jela.

Uliona wapi hiyo?
 
Rais hakudanganywa kwa Sababu yeye ndiye aliamulu Mbowe akamatwe kisa na mkasa ni katiba mpya. Hangaya alidai wasubili asimamishe uchumi akina Mbowe wakakataa hivo Rais akaona kama vile kazalauliwa. Mama akaamua kutumia mamlaka kumdhibiti Mbowe.
Hatimaye Muda umekuwa na ukweli zaidi.
 
Mashahidi wa mchongo, ugonjwa wa mchongo, mawakili wa mchongo
Walidhani wanamkomoa Mbowe na Chadema.

Eti mashahidi ndio wana hofu na kutetemeka kuliko washtakiwa wanaokabiriwa na kitisho cha miaka 30 jela.

Uliona wapi hiyo?
 
Kiukweli kinacho watokea Jamhuri kwenye hii kesi, ni aibu tu na ambayo hawakuitarajia hata kidogo.

Na wafahamu fika Watanzania wengi tunaifuatilia hii kesi kwa umakini mkubwa, ili kujua mwisho wake.
Waliyataka wenyewe, acha wajibebe.
 
Mkuu iache ibaki hivyo hivyo.
Ukuu wa MUNGU unazidi kuwa dhahiri.
 
Shetani hana sababu anapoamua kumtesa binadamu, huwa anasikia raha anapomuona binadamu anateseka!
Hivyohivyo, uzao wa shetani raha yao ni kutesa watu bila sababu yoyote kisa tu wanasikia raha!
 
Hoja zako zinafikirisha Sana,japo inasadikika kuwa mawakili wote mpaka jaji siyo wa dar es salaam, hivyo kila siku wanayospend Dar wana per diem.

Na isitoshe hii kesi imeonyesha doubts nyingi upande wa jamhuri na inawezekana wanajua mwisho wake utakuwaje.

Kama ni kweli Kuna malalamiko kuhusiana na sheria ya mahakama inayosema ikitokea simu imelia mahakamani unatolewa nje na ili urudi sharti uombe msamaha kwa maandishi kupitia kwa msajiri wa mahakama ili uruhusiwe kuingia mahakamani, na hili ni tatizo ambalo huwapata wengi, kwenye kesi hii imewatokea wengi na wengi wamefuata utaratibu wa kuomba msamaha kama kanuni zinavyoelekeza.

Ajabu kwa wale wanachadema waliopata shida hiyo kumekuwa na urasimu mkubwa sana kukubaliwa na hata mtoto.wa Mbowe ni mhanga wa hili.

Hivyo kwenye kesi hii linafanyika lolote mradi liwatese watuhumiwa,mashabiki au jamaa zao, mfano ni hilo suala ulilolizungumzia.kweli haingii akilini eti wakili anatamka muda wa kuwatafuta mashahidi hautoshi na anamwambia jaji na yeye anakubali. Unamtafuta shahidi vipi wakati wapo na mahakama inajua wapo.
 
Maswali hayo hayo ya kipuuzi, Askari wenu aliharisha kila kitu, na sasa hivi anapumulia mashine! Na kuna wakati kesi ikiendelea alipigwa maswali ya ‘kipuuzi’ mpaka akanena kwa lugha baada ya kupandisha mashetani!
 
Kila ubaya utalipwa
 
Ingekuwa jambo zuri kuundwa kwa tume huru kuchunguza mienendo ya task forces zilizokuwepo na kuchunguza watu kama kina Swila, Goodluck , Jumanne, Mahita pamoja na watu waliokuwa wakiwapa orders.
ACP Kingai na DCI Robert Boaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…