Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
DCI Boaz siyo DPPIpelekwe haraka tumsikie dpp boaz kilichomfanya afungue kesi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DCI Boaz siyo DPPIpelekwe haraka tumsikie dpp boaz kilichomfanya afungue kesi.
Gaidi wa mchongo
Tumemwachia MunguKila ubaya utalipwa
🤣🤣🤣Kadhi mkuu feki na wa mchongo
Rais hakudanganywa kwa Sababu yeye ndiye aliamulu Mbowe akamatwe kisa na mkasa ni katiba mpya. Hangaya alidai wasubili asimamishe uchumi akina Mbowe wakakataa hivo Rais akaona kama vile kazalauliwa. Mama akaamua kutumia mamlaka kumdhibiti Mbowe.