Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hapo Kati pamotoShahidi: Kweli naomba niende HAJA NDOGO[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo Kati pamotoShahidi: Kweli naomba niende HAJA NDOGO[emoji23]
Nahisi alienda haja kubwa na sio ndogo hahahaShahidi: Kweli naomba niende HAJA NDOGO[emoji23]
Umeanza kuleta taarifa za kipuuzi kiasi hiki? Yaani kukojoa ni jambo la kujadiliwa Jukwaa la siasa JF? Stop this nonsense!Kibatala anamfuata usoni kwake shahidi Kwa Kumkazia macho anamuuliza, Je unafahamau Kuwa mshtakiwa Adamoo anashtakiwa makosa matano na moja la kula njama za ugaidi?
Shahidi: Mheshimiwa Jaji Mimi siye ninaye andaa Mashtaka, Wanaoandaa ni Ofisi ya Mwendesha Mashitaka, mheshimiwa
Kibatala: statement yako wanashitakiwa kwa maelezo uliyowaonya?
Wakili wa Serikali: OBJECTION. Mh. jaji wakili anatoa speech sana
Jaji :Jamani tumpatie shahidi hata Dakika 2 Jamani, pale Kizimbani Si Mchezo
Shahidi: Kweli naomba niende HAJA NDOGO
Jaji: uende lakini urudi
Mahakama yote inacheka
Yani na bado mpka wajiharishe mbele ya kadamnasi,mamaee zao ccm yani hangaya ataona shungi ziko kama kilemba cha kalasingaKibatala anamfuata usoni kwake shahidi Kwa Kumkazia macho anamuuliza, Je unafahamau Kuwa mshtakiwa Adamoo anashtakiwa makosa matano na moja la kula njama za ugaidi?
Shahidi: Mheshimiwa Jaji Mimi siye ninaye andaa Mashtaka, Wanaoandaa ni Ofisi ya Mwendesha Mashitaka, mheshimiwa
Kibatala: statement yako wanashitakiwa kwa maelezo uliyowaonya?
Wakili wa Serikali: OBJECTION. Mh. jaji wakili anatoa speech sana
Jaji :Jamani tumpatie shahidi hata Dakika 2 Jamani, pale Kizimbani Si Mchezo
Shahidi: Kweli naomba niende HAJA NDOGO
Jaji: uende lakini urudi
Mahakama yote inacheka
Ndiyo tunazihitaji sisi hizoUmeanza kuleta taarifa za kipuuzi kiasi hiki? Yaani kukojoa ni jambo la kujadiliwa Jukwaa la siasa JF? Stop this nonsense!
Jukwaa la siasa?Ndiyo tunazihitaji sisi hizo
Hutaki ondoka!Jukwaa la siasa?
... ukiwakuta kwenye masemina yao mgeni rasmi sijui mkuu wa nchi wamechafuka manyota ya kutosha mabegani na mayunifomu yao very smart utadhani hawa ndio watu! Kumbe looh! Vichwani ni weupe haswa! CCM wanawajulia haswa! Na wanawatumia wapendavyo!
e hakuna kesi, msingi wa kesi ndogo utaamua kesi ndani ya kesi, nilikua najiuliza kwa nini serikali wanashindwa sana kesi kumbe nimejua leo hawana wanasheria competent na nadhani sababu hawajisomei sana au hawapractice sheria mara kwa mara
WakomeKibatala anamfuata usoni kwake shahidi Kwa Kumkazia macho anamuuliza, Je unafahamau Kuwa mshtakiwa Adamoo anashtakiwa makosa matano na moja la kula njama za ugaidi?
Shahidi: Mheshimiwa Jaji Mimi siye ninaye andaa Mashtaka, Wanaoandaa ni Ofisi ya Mwendesha Mashitaka, mheshimiwa
Kibatala: statement yako wanashitakiwa kwa maelezo uliyowaonya?
Wakili wa Serikali: OBJECTION. Mh. jaji wakili anatoa speech sana
Jaji :Jamani tumpatie shahidi hata Dakika 2 Jamani, pale Kizimbani Si Mchezo
Shahidi: Kweli naomba niende HAJA NDOGO
Jaji: uende lakini urudi
Mahakama yote inacheka
Kuna kitu hakipo sawa kichwani kwakoBiblia inasema usimwache mke wa ujana wako. Ona sasa yanayomkuta.
Msameheni, uzee nao umechangia yeye kuandika hayo!Kuna kitu hakipo sawa kichwani kwako
Una tatizo kubwa la saikolojia sana sana, Kama ndoa yako haipo sawa usipanic, Kama ulilelewa na mzazi mmoja kosa sio lako Tulia,
Wewe sio wa kwanza kwenye mahusiano au malezi pungufu
Ukiendelea kuyafikiria hayo mambo utazidi kuchanganyikiwa, Dalili moja wapo ndio hii unayoonyesha hapa JF
uzi ni wa kesi, Wewe unaongelea mambo ya mke, Ni hatari sana
Pole kwa matatizo, Jitahidi kulala na kupumzika