Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

Umeanza kuleta taarifa za kipuuzi kiasi hiki? Yaani kukojoa ni jambo la kujadiliwa Jukwaa la siasa JF? Stop this nonsense!
 
Yani na bado mpka wajiharishe mbele ya kadamnasi,mamaee zao ccm yani hangaya ataona shungi ziko kama kilemba cha kalasinga
 
Huyo jaji ametaka shahidi apewe dakika mbili za nini bila yeye shahidi kuomba?
 
Ndio maana watawala inakuwa rahisi kwao kuwatumia polisi kutokana na ujinga wao. Na huwezi kuujua vizuri ujinga wa polisi, maana mara nyingi ujinga wao umejificha kwenye matumizi ya nguvu. Na hii kutumia nguvu sana njia ya kuficha ujinga wao.
... ukiwakuta kwenye masemina yao mgeni rasmi sijui mkuu wa nchi wamechafuka manyota ya kutosha mabegani na mayunifomu yao very smart utadhani hawa ndio watu! Kumbe looh! Vichwani ni weupe haswa! CCM wanawajulia haswa! Na wanawatumia wapendavyo!
 
Fuatilia vizuri, serikalini ni sehemu ya kuondoa uwezo wa watu kufikiri kwa usahihi. Wengi hupata ulemavu wa ubongo uitwao kufanya kazi kwa kufuata maagizo toka juu.
e hakuna kesi, msingi wa kesi ndogo utaamua kesi ndani ya kesi, nilikua najiuliza kwa nini serikali wanashindwa sana kesi kumbe nimejua leo hawana wanasheria competent na nadhani sababu hawajisomei sana au hawapractice sheria mara kwa mara
 
Huyo kingai amejidhalilisha sana

Nimeamini kweli ule msemo wa Police wa Tanzania ni mbwa wa maccm
 
Wakome
 
Biblia inasema usimwache mke wa ujana wako. Ona sasa yanayomkuta.
Kuna kitu hakipo sawa kichwani kwako

Una tatizo kubwa la saikolojia sana sana, Kama ndoa yako haipo sawa usipanic, Kama ulilelewa na mzazi mmoja kosa sio lako Tulia,

Wewe sio wa kwanza kwenye mahusiano au malezi pungufu

Ukiendelea kuyafikiria hayo mambo utazidi kuchanganyikiwa, Dalili moja wapo ndio hii unayoonyesha hapa JF

uzi ni wa kesi, Wewe unaongelea mambo ya mke, Ni hatari sana

Pole kwa matatizo, Jitahidi kulala na kupumzika
 
Msameheni, uzee nao umechangia yeye kuandika hayo!
 
Askari kwakweli kateseka sana,inabidi apewe asante ya kutosha,hatakama serikali itashindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…