comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Washitakiwa namba 1,2,3 katika kesi ya Uhujumu uchumi namba 16/2021 inayomkabili Freeman Mbowe wamekubali Kuwa walikuwa waajiriwa wa JWTZ na waliwahi kufanya Kazi kama makomando na baadae kufukuzwa Kazi kwa sababu za kinidhamu.
Pia wamekiri Kuwa wanafahamiana kwani waliwahi kufanya Kazi Pamoja kikosi Cha Ngerengere mkoani Morogoro.
MASHAHIDI WA MBOWE WALINDWE
Upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Freeman Mbowe umesema utatumia mashahidi wafuatao akiwemo aliyewahi Kuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, IGP Simon Sirro na Tumaini Chacha ambaye ni mke wa mshitakiwa Hassan Bwire Hassan. Wengine 4 ameomba Mahakama iwalinde Ili asitaje majina au anuani zao.
Chanzo: Watetezi TV