Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoto ya u DED bado inakusumbua.ndo amekufa ivyoLaana ya mbowe kumtukana magufuli haitamwacha salama. Watanzania walilia sana magufuli kuaga dunia ila yeye na genge lake wakasherehekea na kunywa vinywaji huku akitengeneza video kumzulia uongo kashfa na kumtukana.
Huyo hayati mwendakuzimu ni mungu asitukanwe!!!Mwenyekiti wa chama na genge lake mavi yanagonga chupi. Hata hivyo bado wana nafasi ya kutubu dhambi zao za kumtukana hayati Magufuli ili laana waliyo nayo sasa iwatoke, na hatimae kutusua mfano wa ngamia apenyae kwenye tundu la sindano. Kinyume na hapo mvua nyingi itawaangukia vichwani mwao na inawezekana ikawa life sentence.
Nani kakwambia natafuta u DED? Wewe labda ndio unawaza uded ndio maana unafikiri kila mtoa hoja huku jf anatafuta cheo.Ndoto ya u DED bado inakusumbua.ndo amekufa ivyo
Wewe una akili kweli??? Ivi kwa akili yako sabaya anaonewa????Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli na mateso ya Sabaya haitawaacha salama Chadema.
Hujui kitu, kaa kimya.Washitakiwa namba 1,2,3 katika kesi ya Uhujumu uchumi namba 16/2021 inayomkabili Freeman Mbowe wamekubali Kuwa walikuwa waajiriwa wa JWTZ na waliwahi kufanya Kazi kama makomando na baadae kufukuzwa Kazi kwa sababu za kinidhamu.
Pia wamekiri Kuwa wanafahamiana kwani waliwahi kufanya Kazi Pamoja kikosi Cha Ngerengere mkoani Morogoro.
MASHAHIDI WA MBOWE WALINDWE
Upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Freeman Mbowe umesema utatumia mashahidi wafuatao akiwemo aliyewahi Kuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, IGP Simon Sirro na Tumaini Chacha ambaye ni mke wa mshitakiwa Hassan Bwire Hassan. Wengine 4 ameomba Mahakama iwalinde Ili asitaje majina au anuani zao.
Chanzo: Watetezi TV
Dudumizi na usalama WAKO WA Taifa..unaongea matusi. Hebu kuwa Naomi.Angalia mwenendo WA mashitaka unavyokwenda. Acha kuhukumu. Najua nafasi uliyo NAYO ndio inakulevia,ili watu wakometi uje uwateke.Mwenyekiti wa chama na genge lake mavi yanagonga chupi. Hata hivyo bado wana nafasi ya kutubu dhambi zao za kumtukana hayati Magufuli ili laana waliyo nayo sasa iwatoke, na hatimae kutusua mfano wa ngamia apenyae kwenye tundu la sindano. Kinyume na hapo mvua nyingi itawaangukia vichwani mwao na inawezekana ikawa life sentence.
Magufuli kafaa kwa laana ya kuuwa kutukana wstu hata walewaliomzidi umri kamaakina mpango kabudi maraisi waastafu kama akina kikwete wanafunzi dodoma university wanajeshi mabeyo polisi yuleigp aliyempa ubalozi burundi wanawake na wasichana mabalozi wa nchi za nje kama yule waEu wawekezaji viongozi wa dini na wananchi aliomuamuru sirro awe anatulaza maana atuuwe huyo alaanike. Hukokaburi na kizazi chake chote milele na mileleLaana ya mbowe kumtukana magufuli haitamwacha salama. Watanzania walilia sana magufuli kuaga dunia ila yeye na genge lake wakasherehekea na kunywa vinywaji huku akitengeneza video kumzulia uongo kashfa na kumtukana.
Ulilia peke yako, na kwa sababu zako.Laana ya mbowe kumtukana magufuli haitamwacha salama. Watanzania walilia sana magufuli kuaga dunia ila yeye na genge lake wakasherehekea na kunywa vinywaji huku akitengeneza video kumzulia uongo kashfa na kumtukana.
Na ingekuwa kuna kufa zaidi ya maramoja nu bora angekufa tena. Mtu hapatI lá kumwombea mabaya muuaji.Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli na mateso ya Sabaya haitawaacha salama Chadema.
hahahaaaaaaMwenyekiti wa chama na genge lake mavi yanagonga chupi. Hata hivyo bado wana nafasi ya kutubu dhambi zao za kumtukana hayati Magufuli ili laana waliyo nayo sasa iwatoke, na hatimae kutusua mfano wa ngamia apenyae kwenye tundu la sindano. Kinyume na hapo mvua nyingi itawaangukia vichwani mwao na inawezekana ikawa life sentence.
😝😝Nani katengeneza hii movie?