Imebidi kujiridhisha mambo kadhaa kwanza:
Amesikika shahidi #5 kwenye kesi hii akijitambulisha kama Fred Kapala (lawyer), japo TLS anasomeka kama Fred Kapara:
Ikumbukwe Fred Kapara aliwahi ibuka pia kwenye case almaarufu ya kujiteka kwake bwana Abdul Nondo. Huko pia bwana huyu alikuwa shahidi upande wa mashtaka kutokea Tigo kama hivi hivi.
Fred Kapara anataka mahakama imwamini kuwa hakuwahi kumsikia Freeman Aikael Mbowe popote pale duniani!
Shahidi huyu bila shaka wa kimkakati anadai pamoja na kuwapo watu wengine katika legal department huko Tigo yeye tu ndiye aliyeshughulikia suala hili lote.
"Yeye ndiye aliyepokea barua yenye ombi la kufuatilia nyendo za namba ya Mheshimiwa Mbowe kutokea polisi. Yeye ndiye aliyelifanyia kazi ombi hilo. Yeye ndiye aliyewasilisha maelezo polisi na Yeye ndiye aliye kinara mahakamani kumkaanga Mh. Mbowe."
Kwa mtaji huu, Fred Kapara ndiye legal team, na legal team ndiyo yeye pale Tigo.
Kwamba zilitakiwa taarifa za usajili na za miamala ya pesa kutokea kwenye namba hiyo kwa kipindi cha tokea Jun 1 - Jun 31, 2020.
Kama mchezo wa kuigiza vile 😁😁:
1. June ina siku 30 lakini walihitaji hata za siku ya 31.
2. Mbowe alishambuliwa na watu wasiojulikana 8 Jun 2020 na akaendelea kuwa out of action kwa muda mrefu.
3. Fred akapeleka taarifa zote alizoweza kuzipata kuhusu namba hiyo zikiwamo za bonus ambazo hakuwa ameulizwa.
4. Hapakuwa na kigezo chochote cha kisheria au kimaadili kilichozingatiwa kwenye utoaji wa taarifa hizo.
5. Nk
Shahidi huyu ambaye ni mwanasheria akaendelea kuchanganya mambo:
Kabla ya kuhitimisha kuwa 😁😁:
1. Alikuwa ame-print kutokea kwenye screen server.
2. Hakuwahi kusikia popote kuwahi kuwepo DB2 software (ambazo hata hivyo leo ni literally obsolete) na akafanywa (na mawakili wasomi) kukubali kuwa eti ndiyo ambazo ni latest kwenye telecommunications leo.
3. Hakuwahi kusikia kuhusu program (habari kubwa na habari ya mujini) ya udukuzi kwenye telecommunications Industry sasa, ya "Pegasus", wala kujua uwezo wake.
4. Shahidi hajui SQL ni nini. Anafanywa kuamini ni software yenye version.
5. Hajui kuwa hakuna jargon "LINU" katika IT, anafanywa kuamini ipo.
6. Hajui maana ya server wala aina zake.
7. Anasema Tigo wako secure kwa sababu wana Cisco, kuna firewall na switch ya Huawei.
8. Hana taarifa zozote wala kuutambua umahiri wa hackers.
9. Nk nk
Ni wazi kuwa shahidi huyu kaipotezea mahakama muda wake mwingi kupitia mambo ya kitalaamu asiyokuwa na ujuzi nayo.
Kwamba Mbowe alituma pesa kwa simu kipindi hicho? Kwani ni kosa kutuma pesa? Mbona wengi tu tulituma zikiwamo na za kutolea?
Ikumbukwe pia alicho print anaweza print mtu mwingine yeyote katika format hiyo hiyo (na hata nzuri zaidi ikibidi). Hii ikiwa popote bila hata kuhusianisha na server yoyote yaTigo.
Swali la msingi, nini thamani ya ushahidi na shahidi kama huyu?