Kesi ya Mbowe: Ushahidi upande wa Mashtaka unapochukuliwa kuwa ndiyo Dhahiri

Kesi ya Mbowe: Ushahidi upande wa Mashtaka unapochukuliwa kuwa ndiyo Dhahiri

Hiyo namba 3 hapo juu, kiutaratibu kamanda wa polisi wa eneo husika hutakiwa kujulishwa kama kuna operation yoyote kwenye eneo lake ili akae tayari kutoa msaada kama ukihitajika.

Lakini ukiona watu wanatoka kimya kimya toka Dsm kwenda Moshi bila kutoa taarifa popote ujue hao wametumwa kwa maelekezo maalum na wanaenda kuwakamata raia wema na kuwabambikia kesi ili wasiharibu ushahidi kama askari wengi watahusishwa.

Kwa maana nyingine hao ndiyo wale wasiojulikana wenyewe.

Hao ndiyo haswa walio wachawi wa taifa hili.

Kama CCM siyo adui, mchawi wetu ni nani?

Watu hawa tunapaswa kuwakataa.

Watu hawa tunapaswa kuwawajibisha kutuonyesha walikompeleka Moses Lijenje.
 
Shida iko kwenye maelezo ya Kingai mwenyewe akidai:

1. Alikuja na Adamoo kutokea Moshi - Msata - Bagamoyo --> Central Polisi, akivipita vituo vyote vya polisi ikiwamo Mbweni na Oysterbay Kinondoni hadi Ilala.

Hatimaye akamhamishia tena Mbweni, yeye mwenyewe akidai kulikokuwa salama zaidi kuliko central.

Wakati huo huo:

2. Akidai Khalfan Bwire aliwekwa mahabusu Chang'ombe Temeke kwani kulikuwa karibu na sehemu alipokamatiwa.
-----

Yote maelezo ya Kingai hayo, wala huoni mnyembuko mnyembuko wowote?

Kwamba wewe yanakuingia akilini kwa sababu tu uliwahi kusikia duniani kuna sehemu moja kama Goba hivi inayoitwa Guantanamo bay?

Nyie si ndiyo ile michawi yetu?

Kama CCM siyo adui, mchawi wetu ni nani?

Hivi hata Moses Lijenje mlimpeleka wapi?
Hapa napo, majibu ni yale yale. Alimpitisha vituo vyote hivyo makusudi ili mpango wao muovu utimie, lengo likiwa kuwapeleka kwenye destination ambayo tayari walishakuwa na maelezo kuhusu watuhumiwa ili kufanya mambo yao kwa siri.
 
hayo mbona hamkuyasema wakati wa hukumu ya sabaya mlishangilia na sherehe juu hebu subirini nahuyo gaidiakaendelee kuhudumia manyapara huko yana kiu
Kwa hiyo mmemuhukum Sabaya ili ihalalishe uhalifu dhidi ya Mbowe ionekane mwana CCM kafungwa lazima na mwana CHADEMA afungwe ili tufanane.
 
Back
Top Bottom