Kesi ya Mbowe: Ushahidi upande wa Mashtaka unapochukuliwa kuwa ndiyo Dhahiri


Kwa maana nyingine hao ndiyo wale wasiojulikana wenyewe.

Hao ndiyo haswa walio wachawi wa taifa hili.

Kama CCM siyo adui, mchawi wetu ni nani?

Watu hawa tunapaswa kuwakataa.

Watu hawa tunapaswa kuwawajibisha kutuonyesha walikompeleka Moses Lijenje.
 
Hapa napo, majibu ni yale yale. Alimpitisha vituo vyote hivyo makusudi ili mpango wao muovu utimie, lengo likiwa kuwapeleka kwenye destination ambayo tayari walishakuwa na maelezo kuhusu watuhumiwa ili kufanya mambo yao kwa siri.
 
hayo mbona hamkuyasema wakati wa hukumu ya sabaya mlishangilia na sherehe juu hebu subirini nahuyo gaidiakaendelee kuhudumia manyapara huko yana kiu
Kwa hiyo mmemuhukum Sabaya ili ihalalishe uhalifu dhidi ya Mbowe ionekane mwana CCM kafungwa lazima na mwana CHADEMA afungwe ili tufanane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…