Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,456
- 1,005
Habarini
Sihitaji kuwachosha
Wajuvi wa sheria tunaomba majibu ya maswali kadhaa yatokanayo mwenendo mzima wa kesi ya ugaidi inayomkabili MBOWE na wenzake ambao tayari walishafungwa
Kuna watu 3 wamefungwa tayari ambao walikuwa kwenye kundi hilo la kigaidi pamoja na MBOwE
Swali (a)
Je sheria za msajili wa vyama vya siasa inaelekeza ni muda upi chama cha siasa kinapoteza sifa na kufutwa kabisa kutokana na kujiingiza kwenye magenge ya ya kigaidi?
Swali (b)
Watu 3 waliofungwa kwa makosa ya kigaidi walikuwa chini ya uratibu wa Mbowe, je nakala ya hukumu ya kesi hiyo ya ugaidi inatakiwa ipelekwe kwa msajili wa vyama vya siasa au inabaki mahakamani pekee?
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitengua hukumu ya kesi ya uchochezi dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake na kuamuru warejeshewe kiasi cha sh. Milioni 350 walicholipa kama faini. Uamuzi huo umetolewa na Jaji Irvin Mgeta leo Juni 25,2021.
Swali (c)
Mahakama kuu Kanda ya Dar es salaam waliruhusu vipi pesa zirejeshwe kwenye chama ambacho mwenyekiti wake anajihusisha na ugaidi?
Karibuni wabobezi wa sheria