Kesi ya Mbowe, wajuvi washeria watusaidie

Kesi ya Mbowe, wajuvi washeria watusaidie

Heavy equipment

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,456
Reaction score
1,005
Habarini

Sihitaji kuwachosha

Wajuvi wa sheria tunaomba majibu ya maswali kadhaa yatokanayo mwenendo mzima wa kesi ya ugaidi inayomkabili MBOWE na wenzake ambao tayari walishafungwa

Kuna watu 3 wamefungwa tayari ambao walikuwa kwenye kundi hilo la kigaidi pamoja na MBOwE

Swali (a)
Je sheria za msajili wa vyama vya siasa inaelekeza ni muda upi chama cha siasa kinapoteza sifa na kufutwa kabisa kutokana na kujiingiza kwenye magenge ya ya kigaidi?

Swali (b)

Watu 3 waliofungwa kwa makosa ya kigaidi walikuwa chini ya uratibu wa Mbowe, je nakala ya hukumu ya kesi hiyo ya ugaidi inatakiwa ipelekwe kwa msajili wa vyama vya siasa au inabaki mahakamani pekee?

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitengua hukumu ya kesi ya uchochezi dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake na kuamuru warejeshewe kiasi cha sh. Milioni 350 walicholipa kama faini. Uamuzi huo umetolewa na Jaji Irvin Mgeta leo Juni 25,2021.

Swali (c)

Mahakama kuu Kanda ya Dar es salaam waliruhusu vipi pesa zirejeshwe kwenye chama ambacho mwenyekiti wake anajihusisha na ugaidi?

Karibuni wabobezi wa sheria
 
Suala la Mh: Mbowe ni la kugushi tu! kila mkuu wa idara mojawapo utakapo muuliza kwenye sakata hili atajichanganya kwa majibu tofauti ya sitofaham, hii inaletwa kwa vile hili ni suala la kubumba. Huyu rais tuliye nae aweza kumpiku jiwe kwa roho mbaya!
 
Swali (b)
Watu 3 waliofungwa kwa makosa ya kigaidi walikuwa chini ya uratibu wa Mbowe, je nakala ya hukumu ya kesi hiyo ya ugaidi inatakiwa ipelekwe kwa msajili wa vyama vya siasa au inabaki mahakamani pekee?
Hawa watu watatu unaowasemea hapa walifungwa lini?
 
Suala la Mh: Mbowe ni la kugushi tu! kila mkuu wa idara mojawapo utakapo muuliza kwenye sakata hili atajichanganya kwa majibu tofauti ya sitofaham, hii inaletwa kwa vile hili ni suala la kubumba. Huyu rais tuliye nae aweza kumpiku jiwe kwa roho mbaya!
Kwamba maza huyu wa kizenji anaweza kuwa na roho mbaya zaidi??.
 
Nchi hii kubwa namna hii tunawezaje kuongozwa na mtu kutoka nchi jirani?hik katiba ni mbovu kupindukia....Au nasema uongo ndugu zanguni..
 
Kwanza nikusahihishe, CHADEMA Kama chama hakijawahi kuhukumiwa hivyo hakuna fedha iliyorejeshwa kwenye chama.
Walioshtakiwa na kuhukumiwa ni Watu binafsi ie Mbowe, Msigwa et al hivyo fedha zimerejeshwa kwenye akaunti za waliohukumiwa na kulipa faini husika
 
Back
Top Bottom