Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
She is telling herself instinctively.What a contradiction!!!View attachment 2000329
Ndugu yangu,Kinachonifikirisha ni kwa nini mtuhumiwa wa kosa kubwa kama hili aliachwa huru wakati washirika wake wamekamatwa! Hivi hakujua kuwa washirika wake wamekwisha kamatwa na dili limebunguluka?
Kwa nini alikuwa anaenda nchi za nje na kurudi alijiamini nini? Au walikuwepo washirika wakubwa zaidi waliokuwa wanampa ujasiri na asichukue hatua yeyote kujilinda?
Kwa nini alipewa nafasi kwenye sherehe kule Mwanza kuongea mbele ya Rais? Ngoja nisubiri mashahidi wengine pengine nitapata jibu, la sivyo kwangu ni ngumu kumeza.
Baada ya Mbowe watafuata wao,iko sikuTISS ndio wamepanga huu utopolo , mama kapewa matango poli akayabugia , majaji wakaelekezwa na wamekubali bila kujali aibu inayowakabili
AMEN, AMEN.Vikao kila siku jinsi ya kujikwamua na hii aibu inayoipata jamhuri. Kiufupi waliobuni hawakujipanga, walitegemea mgongo wa jiwe kwa ubabe na ujeuri wake juu ya mhimili wa mahakama kuwafunga kina Mbowe.
Walitegemea kwa uwepo wa jiwe kesi ingeendeshwa kimya kimya (bila mahudhurio ya waandishi wa habari na namba ndogo ya wahudhuriaji esp ndugu) na nguvu kubwa kwenye media na matamko ya viongozi wa juu kuuaminisha umma juu ya ugaidi wa Mbowe na kufutwa kwa CHADEMA (Upinzani kufa rasmi TZ)
HAKIKA AKIWAZACHO BINADAMU SI MUNGU AKIWAZACHO. MUNGU ni fundi na hakika ana njia zake za kuitetea HAKI
Mama Mbege ;Niliwaona wakiwa wamekaa ,wakinywa pombe na kusajili laini za simu.Polisi anayesemekana ndio aliye wapekua watuhumiwa na kuwakuta na bastola na kete ndio huyo huyo kafukuzwa kazi kwa kutaka kumbambikia mzee mmoja meno ya tembo.
Shahidi wa upekuzi ni mama muuza pombe ya mbege ambaye kila amuuziaye tangu asubuhi lazima aonje yeye Kwanza.
Vitu vingine vya kijinga sana
Halafu sh 600,000 ambazo hazitoshi kununua hata chain saw moja ya kuangushia hayo magogo.Wacha niendelee kutafakari, bastola moja risasi tatu, washitakiwa wanne, hata wakigawana risasi hazitoshi, bastola sijui pia watazimana? Heri wangewakabidhi mapanga ili kila mmoja awe ana silaha. Sasa ugaidi unabidi utafsiriwe vizuri zaidi, kumhusisha mwanasiasha kwenye hii suala, mngelipanga vizuri zaidi, najua polisi kesi zipo kibao wanatafutwa tu watuhumiwa!