Kesi ya Mbowe: Wapelelezi wanatakiwa kumsaidia Rais kuithibitishia dunia Mbowe ni Gaidi na sio kucheza na majaji wetu pekee itatuweka kubaya

Sirro na mama Samia watakua wanaona aibu sana kukurupuka kuizungumzia hii kesi na kusema ushahidi upo..
 
Ndugu yangu,
baada ya maofisa wazito Mahita na Kingai kuchemsha kisawasawa kuna dalili zote kuwa HUKO hakuna tena kitu cha ziada.
Hao ndio walikuwa tumaini lao kuu lililobakia, baada ya yule dhalimu wa Burigi kwenda zake.
Mie kwa sasa nasubiri kwa hamu kubwa futuhi la ushahidi wa Sirro ambae anatakiwa upande wa utetezi. AMEN
 
AMEN, AMEN.
 
Mama Mbege ;Niliwaona wakiwa wamekaa ,wakinywa pombe na kusajili laini za simu.
Afande Mahita; Hawakuwa wamekaa walikuwa wanatembea kuelekea tuliko sisi.
 
Halafu sh 600,000 ambazo hazitoshi kununua hata chain saw moja ya kuangushia hayo magogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…