Kesi ya Mbowe: Yatokanayo, yasipuuziwe

Jehanam tuulayhiiiii ilishafanya kazi maana lile ziraili litoa roho za wenzie lilishasepa zake na kijiji. SEMA AMINA MUNGU NI mwema sana
 
Ingia kwenye 18 za Polisi,utaelewa hiki ninachosema!

Mkuu sasa nimekusoma. Bila kuweka wazi pale ni jeshi gani ..


tungo yako ilikuwa ni tata mkuu.

Ndipo nami nikashangaa. Laana hiyo itolewe msikiti upi? Kwa Mahita, mji kasoro bahari 😁😁?
 
Mkuu kwenye familia yako yuko mtu kapotea?
 
Pana haja ya kufanya sensa ya kujua waliko makomando hawa hasa kwa waliokuwa demobilized. Kujua wako wapi, wanafanya nini na hata kujihusisha katika ustawi wa maisha yao.[emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827]
 
wingi wa makomando kuacha/ kuachishwa kazi unafikirisha
 
Swali la kijinga.

Ni sawa na kusema kwa sababu kwenye familia yenu hakuna aliyefariki, basi kifo hakipo! JF siku hizi imekusanya hata watu ambao wana akili chini kiwango cha mtu mwenye akili ndogo.

Msajiliwa mkongwe huyo 😁😁:

 
Hizi Buti ni za jeshi kabisa, inaonekana wanajeshi wengi walipotea kwa njia hii sasa ndio tunaanza kupata mwanga.
 
Goodluck, Jumanne na Kingai & Co tumeshawashtakia kwa Mungu kama hamtotubu

Hao wachunguzwe Sept 7, 2017 walikuwa wapi!
Wakili mmoja kutoka upande wa utetezi amuulize Gud, J4, Kingay au Mahita kama hiyo tar walikuwa mji wa zabib kwa ajili ya mission yoyote...yupp mmoja atajichanganya tu!
 
Hao wachunguzwe Sept 7, 2017 walikuwa wapi!
Wakili mmoja kutoka upande wa utetezi amuulize Gud, J4, Kingay au Mahita kama hiyo tar walikuwa mji wa zabib kwa ajili ya mission yoyote...yupp mmoja atajichanganya tu!

Bila kuwasahau wale wakuu wa mikoa na wilaya walioonekana wakilia machozi ya damu Chatto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…