Kesi ya Mbowe: Yatokanayo, yasipuuziwe

Zoezi hilo afanye unayemdhania? Subiri mwendazake atakaporudi.
 
wingi wa makomando kuacha/ kuachishwa kazi unafikirisha
Tuanawapenda Makomandoo wetu na wanajeshi wetu.
Lakini tukianzisha harakati za kudai haki zetu ambazo pia ni zao na za ndugu zao wao hutangaza kufanya usafi nchi nzima.
Pia gari zao ambazo ni zetu huzunguka mitaani siku za Uchaguzi.
Ila sasa na leo tunalia nao.
Nakupenda Tanzania.
 
Zoezi hilo afanye unayemdhania? Subiri mwendazake atakaporudi.

Zoezi kama hilo hufanywa na interested parties.

Zipo kumbukumbu za waliokufa kwa Corona kipindi cha giza kwa majina, tarehe, mkoa, wilaya, tarafa, kata hadi kitongoji:

Corona: Orodha ya wahanga, sampuli

Sembuse makomando waliopotea?

Ninakazia:

Ni bora kufanya la makomando sasa kwa kheri kuliko baadaye kwa shari.
 
I wish I could be IGP
Shida ilianzia pale Amiri jeshi mkuu alipotamani kuwa IGP
Hapo tuu.
Kitendo cha Mkuu wa nchi kumwambia SPEAKER tena mwenye akili kama JOBO kwamba amalizane na WABUNGE akiwa ndani ya bunge na yeye utamalizana nao nje kilikuwa cha hatari kuliko hatar yenyewe.
Sikushangaa RC Bashite aliposema anawasaka wabunge wanaozurura Dar! Yaani mkuu wa mkoa anafasir sheria bila hata kusema anawasaka kwa mujibu wa sheria gani na kuzurura ninini kwa mujibu wa katiba????
MAGUFULI ALITUPELEKA KUBAYA SANA
 

Kusiachwe jiwe juu ya jiwe
 
Swali la kijinga.

Ni sawa na kusema kwa sababu kwenye familia yenu hakuna aliyefariki, basi kifo hakipo! JF siku hizi imekusanya hata watu ambao wana akili chini kiwango cha mtu mwenye akili ndogo.
Mbona ni afadhali kuwa na akili dogo kuliko wewe unayetumia akili ya mtu mwingine tena gaidi
 
Hao wachunguzwe Sept 7, 2017 walikuwa wapi!
Wakili mmoja kutoka upande wa utetezi amuulize Gud, J4, Kingay au Mahita kama hiyo tar walikuwa mji wa zabib kwa ajili ya mission yoyote...yupp mmoja atajichanganya tu!
Wakati umeshafika watapatikana tu.
 
Malaika mkuu wa shetani
 
Ni Bora walifungua kesi kumusingizia Mbowe kuwa Ni gaidi wa Kwanza Tanzania,tunahitaji kujua Hawa akina sabaya na makonda walikuwa wanatekeleza amri kutoka juu ya kuhusu Nini?
 
Unatukumbusha misiba? Wewe unatufahamu humu kila mtu? Tunaposema wauaji tunamaanisha kwa hiyo mtuache tuseme tunayojua.
Wewe hujafiwa waliofiwa hawako hivyo. Any way inawezekana maana kesi ya Mbowe kama inakuumiza hivyo unaweza hata kufanya msiba mbu akifa baada ya kupuliziwa dawa ya rungu
 
Je panya anaweza mfunga paka kengele
 
Je panya anaweza mfunga paka kengele

Kauli hizi zingeendekezwa tusingepata uhuru na kusingekuwapo mabadiliko kokote.

Zambia, Malawi, Kenya na Afrika Kusini paka kafungwa kengele akafungika.

Bado Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, Mozambique, Zimbabwe na wa namna hiyo.

Compare and contrast.
 
Wananchi wanataka katiba nyinyi hamtaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…