Kesi ya Mgawanyo wa Rasilimali za CHADEMA iliyofunguliwa na Said Issa Mohammed na Ahmed Rashid dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama hicho na Katibu Mkuu imeahirishwa mpaka Agosti 5, 2026. Taarifa hiyo imetolwa na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala
Shauri hilo lilitwa leo mbele ya Jaji Awamu Mbagwa ambapo leo ilikuwa ni siku ya kusikilizwa ombi dogo la kusimamishwa kwa shughuli za CHADEMA mpaka kesi ya msingi imalizike.
Hata hivyo upande wa mlalamikaji uliiomba mahakama kupata muda kujibu kiapo kinzani na mapingamizi ya awali yaliyowasilishwa na CHADEMA.