taasisi inahangaishwa na mtu moja au wawili tu ndani yake na inateseka hivi?Kesi ya Mgawanyo wa Rasilimali za CHADEMA iliyofunguliwa na Said Issa Mohammed na Ahmed Rashid dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama hicho na Katibu Mkuu imeahirishwa mpaka Agosti 5, 2026. Taarifa hiyo imetolwa na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala
Shauri hilo lilitwa leo mbele ya Jaji Awamu Mbagwa ambapo leo ilikuwa ni siku ya kusikilizwa ombi dogo la kusimamishwa kwa shughuli za CHADEMA mpaka kesi ya msingi imalizike.
Hata hivyo upande wa mlalamikaji uliiomba mahakama kupata muda kujibu kiapo kinzani na mapingamizi ya awali yaliyowasilishwa na CHADEMA.
Kwa ivo hapo mahakamani wamekwenda kucheza mdumange?taasisi inahangaishwa na mtu moja au wawili tu ndani yake na inateseka hivi?
hii ni maajabu π
Nyie ndiyo watu wa kazi iendelee??taasisi inahangaishwa na mtu moja au wawili tu ndani yake na inateseka hivi?
hii ni maajabu π
taasisi nyingine ni dhaifu mno aise πNyie ndiyo watu wa kazi iendelee??
wazee na vijana wa watu every day kiguu na njia mahakamani kuhangaishwa na kamtu kamoja tu.Kwa ivo hapo mahakamani wamekwenda kucheza mdumange?
taasisi inahangaishwa na mtu moja au wawili tu ndani yake na inateseka hivi?
hii ni maajabu π