mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Kwanza cas wameomba msamaha kwa kuchelewesha Uamuzi wa hukumu iliokuwa itolewe juzi tarehe 24/8/2021.Na wamedai kuwa watajitahidi kutoa hukumu September 21 mwaka huu.
Je, hii kesi kwanini inazungusha Sana toka TFF?
Je, hii kesi kwanini inazungusha Sana toka TFF?