Kesi ya Morrison bado pasua kichwa

Kesi ya Morrison bado pasua kichwa

Bado sijaona inasuaje kichwa, kama imeomba radhi ni uungwana huo kuwa wao ndio wanachelesha kutoa hukumu kutokana sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wao
 
Kwanza cas wameomba msamaha kwa kuchelewesha Uamuzi wa hukumu iliokuwa itolewe juzi tarehe 24/8/2021.Na wamedai kuwa watajitahidi kutoa hukumu September 21 mwaka huu.

Je hii kesi kwanini inazungusha Sana toka tff!?
Tuwekee na source mkuu
 
Back
Top Bottom