Kesi ya msanii Lulu (Elizabeth Michael) iliishia wapi?

Euphransia

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
937
Reaction score
778
Wadau naomba kujuzwa Juu ya Kesi ya Mauaji ya Msanii Steven Kanumba iliyokuwa inamkabili Msanii Elizabeth Michael " LULU" iliishia wapi? Ni muda mrefu sijaisikia kuendelea.
 
Mkuu mbona unafukua makaburi?
 
hata mimi nilikua najiuliza iliishia wapi??
 
Back
Top Bottom