Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi-Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake mwenye umri wa Miaka 11 imeshindwa kuendelea kutokana na Hakimu kupata hudhuru.
Mara ya mwisho kesi hiyo iliposikilizwa Novemba 26, 2024 ilipangwa kusikilizwa tena Desemba 10, 2026, saa nne asubuhi lakini imeshindwa kuendelea kutokana Mh. Hakimu Mkazi Mkuu, Hawa Magesa kutakuwepo na kupelekea Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kuahirisha kesi hiyo mpaka Januari 16, 2025.
Itakumbukwa mshtakiwa huyo alipandishwa kizimbani siku moja baada ya Mwanachama wa Jamiiforum.com kuhoji sababu za kutofikishwa Mahakamani kwa watuhumiwa aliodai wanahusika na ukatili katika Shule hiyo ya Green Acres.
Hata hivyo, upande wa Jamhuri uliieleza Mahakama kuwa ushahidi wa kesi hiyo umekamilika kwa asilimia 100, lakini mtuhumiwa alikana kuhusika na shtaka la kulawiti ambalo alisomewa.
Awali, katika andiko ambalo lilichapishwa ndani ya jukwaa la JamiiForums. com mdau aliomba mamlaka za juu kumulika kwa ukaribu suala hilo kutokana na mazingira ya 'danadana' aliyodai yanagubuka suala hilo hasa kupelekea kucheleweshwa kufikishwa Mahakamani.
Pia soma:
~ Walimu wa Shule ya Green Acres (Dar) wanaotuhumiwa kulawiti na kuwadhalilisha Wanafunzi, wanalindwa na nani?
~ Dar: Mwalimu wa Shule ya Green Acres anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake afikishwa Mahakamani
~ Watu 6 kutoa ushahidi Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Green Acres anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake
~ Dar: Kesi ya Mwalimu Saleh Ayoub anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi yaahirishwa hadi Februari 17, 2025
~ Kesi inayomkabili Mwalimu wa Shule ya Green Acres anayedaiwa kumlawiti mtoto yaahirishwa hadi Machi 24, 2025