Haya ni maneno yanayosemwa na mwana CCM, kwamba wao wakifanya kosa, watashughulikiwa tofauti na CHADEMA, hata ikiwa polisi ataonywa tu asirudie basi, ila kwa wengine kama CHADEMA ni tofauti, lazima ahenyeshwe sawa sawa!
Na hili ni kweli kabisa, si tunaona yanayotokea? Mwenyekiti UVCCM Kagera alifanywa nini baada ya kusema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie? Si alionywa tu, kwamba huyu ni kijana, ulimi unateleza bla...blaaa....blaaa... angekuwa CHADEMA au mwananchi anakosoa serikali angeonywa hivyo tu kiupole na kuachwa salama?
"…lakini utaitamani tu pindi ukipata tatizo kwasababu kesi ya mwana CCM na kesi ya mwana CHADEMA hata iwe polisi au kwa mwenye kiti wa Kijiji ni vitu viwili tofauti. Huyu anaweza akaambiwa tu bwana hebu pisha usirudie moja mbili tatu akini tunakujua wewe ni wa hivi tutahangaika na wewe, si ndiyo maana yake? Uongo kweli?"

Huyu mshenzi atakufa kwa presha na unene huu. Apartheid kabisa anaitangaza wazi. Erythrocyte take note of this. Mbowe should adress this publically dunia ijue, mahakama ijue and all concerned!
"…lakini utaitamani tu pindi ukipata tatizo kwasababu kesi ya mwana CCM na kesi ya mwana CHADEMA hata iwe polisi au kwa mwenye kiti wa Kijiji ni vitu viwili tofauti. Huyu anaweza akaambiwa tu bwana hebu pisha usirudie moja mbili tatu akini tunakujua wewe ni wa hivi tutahangaika na wewe, si ndiyo maana yake? Uongo kweli?"
Katika Qur'an, mafundisho ya hukumu na haki yanajitokeza kwa njia mbalimbali, kutoa mwongozo kuhusu jinsi ya kuendesha mahakama na kutatua mizozo kwa njia ambayo ni ya haki na yenye uadilifu. Hapa kuna baadhi ya mafundisho muhimu kuhusu hukumu na haki katika Qur'an:
Uadilifu na Usawa:Qur'an inasisitiza umuhimu wa uadilifu na usawa katika hukumu. Mfano wa haya unapatikana katika Surat An-Nisa (4:58) ambapo Allah anawaamuru walezi na majaji kutoa hukumu kwa uadilifu bila ya kubaguliwa kwa watu au kuathiriwa na hisia za kibinafsi.
Kusikiliza Pande Zote:Qur'an inawahimiza majaji na watu wenye mamlaka kusikiliza pande zote mbili kabla ya kutoa hukumu. Hii inapatikana katika Surat Al-Hujurat (49:6) ambapo watu wanahimizwa kuchunguza kwa uangalifu madai na hoja kabla ya kufanya maamuzi.
Kuzuia Uonevu:Qur'an inakataza vikali uonevu na ubaguzi katika hukumu. Kwa mfano, Surat Al-Ma'idah (5:8) inawakumbusha waamuzi kutoa hukumu kwa uadilifu hata kama hilo linahusisha kujipigania mwenyewe.
Kwa sababu nchi haina uwajibikaji jamaa ataendelea na nafasi yake kama hakuna ambacho kimetokea. Kauli kama hizi kutoka kwa viongozi ujue katu CCM haiwezi kuondolewa kwa sanduku la kura maana hata wao wanakwambia polisi wanashughulikia tofauti watu kwa misingi ya vyama.
Ni kama vile anawatisha watu wajiunge na CCM hata wakitenda uhalifu wanaweza wasishughulikiwe.
Ni sahihi kabisa, kwa sababu shetwani akimkosea mwanadamu, na kesi hiyo ikapelekwa kwa jaji shetwani, matokeo yake wajaua yatakuwaje?
Kwetu sisi Wa Matumbi huwa tuna usemi wetu wa kesi ya nyani ukampelekea shitaka tumbili/ngedere unategemea hukumu itakuwaje?
Lakini, wengine huwa tuna imani kuwa shetwani hajawahi kumshina Mungu, tusimame na MWENYE ENZI MUNGU!