JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
unaichezea mahakama awamu hii sio ya bygoneHawawezi kutokea
Hawawezi kutokea
Kesi ya mchongo ile kutaka kiki tuSakata la Mwanahabari Luqman Maloto ambaye amefungua kesi ya jinai No. 5/2023 dhidi ya DCI na DPP katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam limeendelea leo Februari 9, 2023 ambapo imefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa.
Wakili Hekima Mwasipu anaelezea kilichotokea ikiwemo Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kutofika Mahakamani, ambapo kesi imesogezwa mbele hadi Februari 22, 2023.
Katika shauri hilo pia, Maloto anaiomba Mahakama itamke ofisi hizo zimeshindwa kuchunguza matukio yaliyofanywa na wasiojulikana ikiwemo kushambuliwa Tundu Lissu, kupotea Azory Gwanda na Ben Saanane.
Awe makini asije akakosekana yeye kufika mahakamani na kusababisha kesi kufutwa.Sakata la Mwanahabari Luqman Maloto ambaye amefungua kesi ya jinai No. 5/2023 dhidi ya DCI na DPP katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam limeendelea leo Februari 9, 2023 ambapo imefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa.
Wakili Hekima Mwasipu anaelezea kilichotokea ikiwemo Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kutofika Mahakamani, ambapo kesi imesogezwa mbele hadi Februari 22, 2023.
Katika shauri hilo pia, Maloto anaiomba Mahakama itamke ofisi hizo zimeshindwa kuchunguza matukio yaliyofanywa na wasiojulikana ikiwemo kushambuliwa Tundu Lissu, kupotea Azory Gwanda na Ben Saanane.
Nia ni njema, my problem is: Kwa mahakama zipi? Jaji wepi? wa huyu Ibrahim Hamis JumaSakata la Mwanahabari Luqman Maloto ambaye amefungua kesi ya jinai No. 5/2023 dhidi ya DCI na DPP katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam limeendelea leo Februari 9, 2023 ambapo imefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa.