Kesi ya mwizi wa mafuta Kigamboni imefikia wapi?

Huwezi ukakamata mali ya Rais mstaafu..Hujipendi..Huoni magufuri alivyofanyiwa
 
Mdogo wangu ndege JOHN kuna maji yametulia lakini kina chake ni kirefu haifai kuyavagaaa
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji6]! Nimecheka sana kama mazuri!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rushwa kubwa hiyo na huenda ikazidi na thamani ya gharama ulizokuwa unamdai!

Kwa mswahili anaona fahari sana kuhonga kiasi kikubwa, huku akikudidimiza wewe unayemdai chako cha halali!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wanakataa kuita hivyo, rekebisha kauli. Sema: "yule mtuhumiwa wa..." na siyo "yule mwizi"

Wahalifu wanabembelezwa hadi apatikane na hatia afungwe.

Lakini sasa cha ajabu, hata akihukumiwa haitwi mwizi bado, huitwa mfungwa!

Nafasi ile ya kumuita mwizi kwa cheo chake kinachomstahili haipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu alie karibu na mtuhumiwa wa wizi huo, alinambia kesi ilishahukumiwa kulipa sh milioni 100 au kifungo miaka 2. Alikupa faini!
 
Kipindi hiki cha awamu ya 6 kila mtu ajinyamazie tu na kuangalia hadi 2025 .

Kwa kufuatilia sasa kile kitabu cha mwaka 1977 kimeipeleka ccm kusiko.

Maza na Dr Mwinyi ni ndugu sasa. Nchi inaendeshwa na kaka na dada.

Mengi tutayasikia.
Bora kuliko bwana yuleee
 
Ahaaaaa mbuzi kafia kwa muuza supu
 
Walimwibia nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…