Kesi ya Rais Kenyata ICC mashahidi 2 wajiondoa, yaahirishwa kukusanya ushahidi zaidi

Kesi ya Rais Kenyata ICC mashahidi 2 wajiondoa, yaahirishwa kukusanya ushahidi zaidi

Mkuu Kabaridi - well said jamaa huyu mjanja sana, nafikiri anawatumia vile vile baadhi ya Waingereza kumpigia debe. Kinacho nishangaza naona Ruto wala hajashtuka kwamba actually Uhuru atamuacha kwenye mataaa afungwe yeye! 4 some reason Ruto hilo hajaliona!!!

kwa kweli mkuu hili pia nalitazama unavyoiona..... wandani wake DP wanmchafua na lazima kufungua macho, kilicho baki ni amkimbilie raila halafu kutoka hapo kicheko..............!!
 
kwa kweli mkuu hili pia nalitazama unavyoiona..... wandani wake DP wanmchafua na lazima kufungua macho, kilicho baki ni amkimbilie raila halafu kutoka hapo kicheko..............!!

Naona kwa vile jamaa mshamfaidi sasa mnaleta kicheko eti?...dah! nyie watu sampuli hii hamna maana kabisa mazee!
 
Naona kwa vile jamaa mshamfaidi sasa mnaleta kicheko eti?...dah! nyie watu sampuli hii hamna maana kabisa mazee!

nafananisha tu vile kalonzo alivomkimbilia raila. baada ya kuingia CORD akachekwa kwanza halafu............
 
nafananisha tu vile kalonzo alivomkimbilia raila. baada ya kuingia CORD akachekwa kwanza halafu............

Kamanda,

hii ya Ruto imezidi kidogo maana jamaa 'ame-deliver' lakini hamna cha kuonyesha shukran. Kalonzo alimkimbilia Agwambo
ili kujiongeza ujiko lakini kila mtu anamfahamu. Raila akiondoka sidhani kama watu watamsikiza Kalonzo...labda yule
Wetangula. Senti yangu hamsini hio.
 
[h=1]ICC prosecutors say Kenyatta trial 'doomed'[/h]
_h353_w628_m6_otrue_lfalse.jpg
Associated Press

_h17_w0_m6_otrue_lfalse.jpg
06/02/2014 By NAN SHARE

TWEET

EMAIL


The International Criminal Court (ICC) has no realistic chance of successfully prosecuting President Uhuru Kenyatta in the face of the Kenyan government's pure obstructionism, prosecutors have said.
Ben Gumpert, a prosecution lawyer, said on Wednesday in The Hague that they needed to have access to Kenyatta's financial records.
He said this might show that he had indirectly paid large sums of money to perpetrators of a wave of post-election violence which swept through Kenya six years ago.
Reuters reports that Kenyatta was charged with crimes against humanity, related to the violence in the early 2008 when 1,200 died and thousands were driven from their homes.
He has denied the charges.
Gumpert said it was nearly two years since the court had been asking for Kenyatta's financial records.
"Of all the leads available to us, we have exhausted all reasonable prospects, but we are under a duty to pursue our investigations.
"The stones which remain to be turned are getting less and less promising," he said.
Gumpert said the position of the government of Kenya was one major obstruction in accessing the account.
Reuters said the prosecutors were asking judges to rule that Kenya was not meeting its obligations to the court.
They also asked the court to adjourn the trial until Kenya turns over further material in a case which has driven a wedge between African countries and the ICC's Western backers.
It said Kenyatta's lawyers wanted the judges to dismiss the case, saying the prosecution was attempting to abandon its case while pinning the blame for its failure on the Kenyan government.
It said the trial was important to the ICC, which has secured only one conviction and suffered a string of collapsed cases since it was set up 11 years ago.
Copyright NAN
All rights reserved. This material may not be reproduced, published, broadcast, rewritten or redistributed without
prior permission in writing from NAN

MY TAKE: JE, TRANSACTION ZA FEDHA ZILIZOFANYWA WAKATI TAJWA NDO KIELELEZO CHA KUFADHIRI P[OST ELECTION VILORENCE?????????
 
Back
Top Bottom