Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na mawakili Boniface Mwabukusi na wenzake kupinga makubaliano ya awali Intergovernmental Agreement (IGA) kati ya Serikali ya Tanzania na DP World ya Dubai kuhusu uwekezaji wa bandari ya Dar es Salaam ilitolewa uamuzi na Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya 10 Agosti 2023, lakini ilikatiwa rufaa kwa Hati ya Dharura tangu tarehe 12 Oktoba 2023 imepangwa kuanza kusikilizwa tarehe 7 mwezi ujao miaka mitatu baada ya hati ya dharura.
