Kesi ya Rufaa kupinga mkataba wa bandari kuendelea baada ya kusimama kwa miaka 3

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na mawakili Boniface Mwabukusi na wenzake kupinga makubaliano ya awali Intergovernmental Agreement (IGA) kati ya Serikali ya Tanzania na DP World ya Dubai kuhusu uwekezaji wa bandari ya Dar es Salaam ilitolewa uamuzi na Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya 10 Agosti 2023, lakini ilikatiwa rufaa kwa Hati ya Dharura tangu tarehe 12 Oktoba 2023 imepangwa kuanza kusikilizwa tarehe 7 mwezi ujao miaka mitatu baada ya hati ya dharura.

 
Hii mahakama kusfmr;*"&#_)+)?"*zske
 
Tunapitia Kipindi kigumu sana.
Hakuna tatizo la kudumu.

Hakuna lenye Mwanzo lisilo na Mwisho.
 
We jamaa kumbuka Mwabukusi kapewa Land Cruiser 2 zero km.
Kuna kesi hapo
 

DP WORLD IMPERIALISM FROM PORT SUDAN TO DAR ES SALAAM PORT


View: https://m.youtube.com/shorts/kuKzakKHYaA

​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…