Ndombwindo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2013
- 1,387
- 2,085
William Mackinnon, Joseph Thomson, Harry Johnston na wengine wengi sana. Ukiwa na muda pitia hii article hapa chini;Wahuni gani hao
Kanawe miguu ukalaleKama Mbowe alibyoitumia Ofisi ya KUB kutaka kufanya ugaidi.
Ina maana John Pombe Magufuli alikosa watu wa kuwateua kuwa ma Dc hadi akaamua kumteua Jambazi Ole Sabaya ?Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, imepokea video sita zilizokuwa kwenye ‘flash disk’ iliyowasilishwa kama ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya, Lengai Ole Sabaya na wenzake.
Wiki iliyopita, upande wa utetezi ulipinga kupokelewa kwa video hizo kama ushahidi katika kesi hiyo lakini baada ya Mahakama kusikiliza hoja za pande zote, imekubali kuzipokea.
Katika video hizo, watu wawili wanaonekana wakiingia katika benki ya CRDB tawi la kwa Morombo mkoani Arusha na kuchukua maburungutu ya fedha ambazo ziliwekwa kwenye maboksi.
Afisa wa benki alionekana akiwa ameshika maboksi mkononi kabla ya kuanza kuhakiki fedha hizo na kuzipanga kwenye maboksi, kisha aliziweka juu ya kiziti chenye matairi na kwenda kuwakabidhi watu hao wawili.
Watu hao ambao mmoja anaonekana ni mtu wa makamo aliyevaa koti kubwa na mwingine ni kijana, walichukua maboksi hayo yenye fedha na kwenda kuingia nayo kwenye gari la bluu.
Video hizo zilitolewa kama sehemu ya ushahidi wa upande wa Jamhuri kupitia shahidi wake wa nne, Jonson Kisaka.
Mi nipo naangalia mechi ya Yanga huku nagonga Mvinyo wewe unazungumzia kunawa miguu na kulala? Wadada wa kazi bwana!Kanawe miguu ukal
Kwa kweli Miongoni mwa Mitandao ya Simu ina huduma nzuri sana ni Tigo! Wanafanya vizuri aiseeHapa hutasikia watu wamesusia huduma za CRDB, Subiri sasa ushahidi kama huu utolewe kwenye ile kesi pendwa utaskia kelele za watu tufunge akaunti CRDB.
Ndio maana mungu alituondolea kikwazo. Hata Kodi zilizokuwa zinaishia bgadolite kutengeneza miundombinu ambayo haikuwamo kwenye mipango.MTOTO ALIKUWA JAMBAZI KWELI, ALITUMIA SERIKALI KIVULI CHA WIZI, DAH
Zipo. Tuanzie zile za cloudsHivi hatuez pata video Kama hizi za Bashite nae akamsaidie mwenzake kule. Hebu wadau wenye ushahidi tuukusanye tupate mawakili wa kutusaidia tujenge Tanzania yenye nidhamu
Atachomwa ata sindano ya sumu tu ili turidhikeAlikuwa anajichekesha juzi lakini anajua kuwa atafia jela.
Ndo nani hawa walipewa Kazi ganiWilliam Mackinnon, Joseph Thomson, Harry Johnston na wengine wengi sana. Ukiwa na muda pitia hii article hapa chini;
The Scramble for East Africa: British Motives Reconsidered, 1884–95
(2015). The Scramble for East Africa: British Motives Reconsidered, 1884–95. The Journal of Imperial and Commonwealth History: Vol. 43, No. 5, pp. 831-860.www.tandfonline.com
Jiwe aliwaponza hawa watoto wa Watu kibwege sana , huyu alifanya uhalifu bila kuogopa chochote , hata alipojua anarekodiwa hakuogopa chochoteMahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, imepokea video sita zilizokuwa kwenye ‘flash disk’ iliyowasilishwa kama ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya, Lengai Ole Sabaya na wenzake.
Wiki iliyopita, upande wa utetezi ulipinga kupokelewa kwa video hizo kama ushahidi katika kesi hiyo lakini baada ya Mahakama kusikiliza hoja za pande zote, imekubali kuzipokea.
Katika video hizo, watu wawili wanaonekana wakiingia katika benki ya CRDB tawi la kwa Morombo mkoani Arusha na kuchukua maburungutu ya fedha ambazo ziliwekwa kwenye maboksi.
Afisa wa benki alionekana akiwa ameshika maboksi mkononi kabla ya kuanza kuhakiki fedha hizo na kuzipanga kwenye maboksi, kisha aliziweka juu ya kiziti chenye matairi na kwenda kuwakabidhi watu hao wawili.
Watu hao ambao mmoja anaonekana ni mtu wa makamo aliyevaa koti kubwa na mwingine ni kijana, walichukua maboksi hayo yenye fedha na kwenda kuingia nayo kwenye gari la bluu.
Video hizo zilitolewa kama sehemu ya ushahidi wa upande wa Jamhuri kupitia shahidi wake wa nne, Jonson Kisaka.
Watu wamepigwa sana ,dhulumiwaJamaa kawaibia sana
Hapa hutasikia watu wamesusia huduma za CRDB, Subiri sasa ushahidi kama huu utolewe kwenye ile kesi pendwa utaskia kelele za watu tufunge akaunti CRDB.
Ndege wafananao...Yule Bwana alichagua wahuni
Katika kesi yeke ya kwanza iliyompatia kifungo cha miaka 30, Sabaya alisema kuwa Makamu wa rais Mpango na Gavana wa benki kuu walikuwa wanajua operation alizokuwa anaendesha!! Cha kusahangaza hakuwaita kama mashahidi wake wakati wa kujitetea na hao ndio wangemsaidia kudhihirisha kama kweli alikuwa anatumwa na mwendazakae!!Huwezi kutenga wizi wa sabaya na utawala wa magufuli. Kwa kifupi huo wizi alitumwa na magufuli..
we mwenye uwezo mkubwa umefika wapi? Ungekuwa na uwezo kunizidi ungekuwa kwenye CEOrt au unashindana na aki MO na Bakhresa mida hii. Bangladesh...Uwezo wako wa ku analyze mambo ni mdogo sana, hutakiwi hata kujibiwa maana Huna uwezo wa kuelewa utakachojibiwa
Hapa hutasikia watu wamesusia huduma za CRDB, Subiri sasa ushahidi kama huu utolewe kwenye ile kesi pendwa utaskia kelele za watu tufunge akaunti CRDB.
Bashite amepora hata physical properties!! Shahidi zipo nyingi sana, ni Muda tuHivi hatuez pata video Kama hizi za Bashite nae akamsaidie mwenzake kule. Hebu wadau wenye ushahidi tuukusanye tupate mawakili wa kutusaidia tujenge Tanzania yenye nidhamu
Soma mkuu.Ndo nani hawa walipewa Kazi gani
Kuwa mpole mkuu, ushahidi unaenda kwa awamu. Kuna kesi zingine za Moshi nazo zina videos za kumbana huyo huyo Sabaya. Pita kimya kimya ndugu.Sura ya Sabaya ilionekana?