Kesi ya Seth na Rugemalira: Serikali haitendi haki

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
4,932
Reaction score
13,306
Hivi tangu lini DPP akabeba mamlaka ya mahakama?

Tulikaa kimya kwa sababu kesi ya Habinder Seth na Rugemalira ilikuwa bado mahakamani, huwezi kuongea lolote kesi inapokuwa mahakamani, kwa sababu mahakama ni sehemu ya Haki.

Eti Seth amekiri kwa DPP kwenye formal statement kwamba yeye ana makosa na kwa hiyo alipe Bil. 26 Kama faini.

Huu ni ujangili wa serikali kwa raia wake, yaani Serikali inapora pesa kwa nguvu ilizonazo dhidi ya watu wenye pesa.

Kwa wasiojua hii ishu ilianza kipindi cha Hayati Magufuli, si tu Seth na Rugemalira bali watuhumiwa wengi wenye ukwasi mkubwa waliokuwa mahabusu walishurutishwa kukiri makosa yao kwa maandishi ili walipe faini na kutoka mahabusu.

Baadhi walifuata masharti hayo ya kijangili ya Serikali na walilipa faini na kutoka.

Seth na Rugemalira waligoma wakitaka haki itende Mahakamani, yaani mahakama ndo iamue endapo wana hatia au la.

Msimamo wao huo uliwaponza na kesi yao ilianza kupigwa Tarehe na kuwafanya wazidi kuteseka mahabusu.

Taarifa za uhakika nilizonazo kutoka familia ya Seth zinadai kwamba, ndugu wa Seth (wanafamilia na jumuiya za kisingasinga) waliona isiwe tabu, haijulikani lini mahakama itatoa haki,kwa kuwa pesa hutafutwa na uhai hautafutwi,waliona bora walipe pesa ili yaishe, Kama ujangili ni nini hicho?

Malipo ni hapa hapa Duniani, serikali ya CCM kazaneni kuonea watu, before you pay the price, and your time has drawn nigh....

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kazi iendelee
 
Hapa nasubiri kauli ya wabunge waliotueleza kuwa Seth na wenzake walibeba mpunga, noti, ndululu, chapaa, faranga, fedha, mane, hela za serikali kutoka pale kwenye Kibubu Cha Taifa kwenye magunia na masandaruzi.
Sasa Hawa jamaa kama kipindi kile walitudanganya basi sawa, na kama walikuwa wanaishambulia serikali ili tu kuishinikiza imuonee Seth basi hawa jamaa nao ni wa kulaumiwa kwakweli!
 
Mkuu mnasema sana bila hata kujua mnazungumzia kitu gani? Ila kwa kuwa watanzania wana uhuru wa kuongea hakuna kosa lolote unalo lifanya, ila unaanika ubongo wako kwa wanaofahamu tatizo ni nini waweze kusoma kwa ufasaha ubongo wako na unaofanana não.

1) Jua how escrow account was establish
2) the reason why money was to be contribute from both parties IPPTL and Tanesco in this account
3) IPPTL lost all cases in London
4) how was it possible, you loose a case but through lawyers and blessed by High court judge you legalize and legitimatise money which is not yours and you know it is from walipa kodi wa mtaani.what else you can't do to people of this nation?
5) You take 256 million a united States Dollars. which belongs to Tanesco and become yours.
6) You stole 356 Million US Dollar and you are fined 13 million Dollars.
7) Stupidity of the highest order from the government side. You loose 356 million USD and you recover 13 million USD on top of it your are insulted.

Mama Samia OYEEEEEE. You are running a good democratic Government. Which follows human rights. Your people looses 233 Million USD.

Lawama kwa Magufuli aliye taka zirudishwe pesa zile tuu wananchi wake walio changa. Zile za kwao wa ache wachukue sababu Jaji na Mwana Sheria mkuu walikosea. Damu ya kunguni na Mjinga katili, muuaji Mwendazake ziiiiiiiiiii.
 
Mama Samia was the right hand person wakati Magufuli akiimplement uporaji wa aina hii. Anachokifanya Mama Samia ni muendelezo tu wa yaleyale.

Msipumbazwe na kauli zake zilizofichwa kwenye haiba ya upole. Huyu mama anaweza kuja kuwa mbaya zaidi na mwenye upendeleo wa wazi, especially kwa wenzake kutoka pande ile ya Muungano
 
Hawa si mlikuwa mnapiga kelele kwamba wanaonewa?
 
Hivi tangu lini DPP akabeba mamlaka ya mahakama?

Tulikaa kimya kwa sababu kesi ya Habinder Seth na Rugemalira ilikuwa bado mahakamani, huwezi kuongea lolote kesi inapokuwa mahakamani, kwa sababu mahakama ni sehemu ya Haki.

Eti Seth amekiri kwa DPP kwenye formal statement kwamba yeye ana makosa na kwa hiyo alipe Bil. 26 Kama faini.

Huu ni ujangili wa serikali kwa raia wake, yaani Serikali inapora pesa kwa nguvu ilizonazo dhidi ya watu wenye pesa.

Kwa wasiojua hii ishu ilianza kipindi cha Hayati Magufuli, si tu Seth na Rugemalira bali watuhumiwa wengi wenye ukwasi mkubwa waliokuwa mahabusu walishurutishwa kukiri makosa yao kwa maandishi ili walipe faini na kutoka mahabusu.

Baadhi walifuata masharti hayo ya kijangili ya Serikali na walilipa faini na kutoka.

Seth na Rugemalira waligoma wakitaka haki itende Mahakamani, yaani mahakama ndo iamue endapo wana hatia au la.

Msimamo wao huo uliwaponza na kesi yao ilianza kupigwa Tarehe na kuwafanya wazidi kuteseka mahabusu.

Taarifa za uhakika nilizonazo kutoka familia ya Seth zinadai kwamba, ndugu wa Seth (wanafamilia na jumuiya za kisingasinga) waliona isiwe tabu, haijulikani lini mahakama itatoa haki,kwa kuwa pesa hutafutwa na uhai hautafutwi,waliona bora walipe pesa ili yaishe, Kama ujangili ni nini hicho?

Malipo ni hapa hapa Duniani, serikali ya CCM kazaneni kuonea watu, before you pay the price, and your time has drawn nigh....

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Kuna uwezekano kesi hii ikafungua njia ya kudai uhalali wa mchakato mzima.
Anaweza nae akafanya kama 👇👇👇👇👇
(https://www.jamiiforums.com/threads/wakili-aeleza-walivyosota-gerezani-na-mkewe-miezi-18-waamua-kudai-fidia.1881500/)
 
Hivi tangu lini DPP akabeba mamlaka ya mahakama?

Tulikaa kimya kwa sababu kesi ya Habinder Seth na Rugemalira ilikuwa bado mahakamani, huwezi kuongea lolote kesi inapokuwa mahakamani, kwa sababu mahakama ni sehemu ya Haki.

Eti Seth amekiri kwa DPP kwenye formal statement kwamba yeye ana makosa na kwa hiyo alipe Bil. 26 Kama faini.

Huu ni ujangili wa serikali kwa raia wake, yaani Serikali inapora pesa kwa nguvu ilizonazo dhidi ya watu wenye pesa.

Kwa wasiojua hii ishu ilianza kipindi cha Hayati Magufuli, si tu Seth na Rugemalira bali watuhumiwa wengi wenye ukwasi mkubwa waliokuwa mahabusu walishurutishwa kukiri makosa yao kwa maandishi ili walipe faini na kutoka mahabusu.

Baadhi walifuata masharti hayo ya kijangili ya Serikali na walilipa faini na kutoka.

Seth na Rugemalira waligoma wakitaka haki itende Mahakamani, yaani mahakama ndo iamue endapo wana hatia au la.

Msimamo wao huo uliwaponza na kesi yao ilianza kupigwa Tarehe na kuwafanya wazidi kuteseka mahabusu.

Taarifa za uhakika nilizonazo kutoka familia ya Seth zinadai kwamba, ndugu wa Seth (wanafamilia na jumuiya za kisingasinga) waliona isiwe tabu, haijulikani lini mahakama itatoa haki,kwa kuwa pesa hutafutwa na uhai hautafutwi,waliona bora walipe pesa ili yaishe, Kama ujangili ni nini hicho?

Malipo ni hapa hapa Duniani, serikali ya CCM kazaneni kuonea watu, before you pay the price, and your time has drawn nigh....

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Seth wa wapi? KIshafika India wewe bado unahangaika na kesi hiyo?
Huyo Ruge, mwambieni maisha yya utapeli yalikuwa mbio za sakafuni. Mwenzake kisha muacha yeye analilia DPP, mahakama, bhla! Bhla! Kwani anaamini ataishi na kuzikwa na pesa? Pesa nini, bhana!
 
Hivi tangu lini DPP akabeba mamlaka ya mahakama?

Tulikaa kimya kwa sababu kesi ya Habinder Seth na Rugemalira ilikuwa bado mahakamani, huwezi kuongea lolote kesi inapokuwa mahakamani, kwa sababu mahakama ni sehemu ya Haki.

Eti Seth amekiri kwa DPP kwenye formal statement kwamba yeye ana makosa na kwa hiyo alipe Bil. 26 Kama faini.

Huu ni ujangili wa serikali kwa raia wake, yaani Serikali inapora pesa kwa nguvu ilizonazo dhidi ya watu wenye pesa.

Kwa wasiojua hii ishu ilianza kipindi cha Hayati Magufuli, si tu Seth na Rugemalira bali watuhumiwa wengi wenye ukwasi mkubwa waliokuwa mahabusu walishurutishwa kukiri makosa yao kwa maandishi ili walipe faini na kutoka mahabusu.

Baadhi walifuata masharti hayo ya kijangili ya Serikali na walilipa faini na kutoka.

Seth na Rugemalira waligoma wakitaka haki itende Mahakamani, yaani mahakama ndo iamue endapo wana hatia au la.

Msimamo wao huo uliwaponza na kesi yao ilianza kupigwa Tarehe na kuwafanya wazidi kuteseka mahabusu.

Taarifa za uhakika nilizonazo kutoka familia ya Seth zinadai kwamba, ndugu wa Seth (wanafamilia na jumuiya za kisingasinga) waliona isiwe tabu, haijulikani lini mahakama itatoa haki,kwa kuwa pesa hutafutwa na uhai hautafutwi,waliona bora walipe pesa ili yaishe, Kama ujangili ni nini hicho?

Malipo ni hapa hapa Duniani, serikali ya CCM kazaneni kuonea watu, before you pay the price, and your time has drawn nigh....

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Kitu hujui kaa kimya! Mtu ameiba 350B anatozwa 26B huyo ni JK
 
The government belongs to nobody
 
Mimi Kama mtanzania halisi kwa akili yangu timamu bila kushawishiwa na mtu yeyote naapa kuwa sitachangia Uzi huu kwa kuwa Alie uandika Uzi huu hajui chochote kuhusu escrow ee Mungu nisaidie.
 
Hapa nasubiri kauli ya wabunge waliotueleza kuwa Seth na wenzake walibeba mpunga, noti, ndululu, chapaa, faranga, fedha, mane, hela za serikali kutoka pale kwenye Kibubu Cha Taifa kwenye magunia na masandaruzi.
Sasa Hawa jamaa kama kipindi kile walitudanganya basi sawa, na kama walikuwa wanaishambulia serikali ili tu kuishinikiza imuonee Seth basi hawa jamaa nao ni wa kulaumiwa kwakweli!
Watu washasahau sijui hili
 
Back
Top Bottom