My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Kazi iendeleeHivi tangu lini DPP akabeba mamlaka ya mahakama?
Tulikaa kimya kwa sababu kesi ya Habinder Seth na Rugemalira ilikuwa bado mahakamani, huwezi kuongea lolote kesi inapokuwa mahakamani, kwa sababu mahakama ni sehemu ya Haki.
Eti Seth amekiri kwa DPP kwenye formal statement kwamba yeye ana makosa na kwa hiyo alipe Bil. 26 Kama faini.
Huu ni ujangili wa serikali kwa raia wake, yaani Serikali inapora pesa kwa nguvu ilizonazo dhidi ya watu wenye pesa.
Kwa wasiojua hii ishu ilianza kipindi cha Hayati Magufuli, si tu Seth na Rugemalira bali watuhumiwa wengi wenye ukwasi mkubwa waliokuwa mahabusu walishurutishwa kukiri makosa yao kwa maandishi ili walipe faini na kutoka mahabusu.
Baadhi walifuata masharti hayo ya kijangili ya Serikali na walilipa faini na kutoka.
Seth na Rugemalira waligoma wakitaka haki itende Mahakamani, yaani mahakama ndo iamue endapo wana hatia au la.
Msimamo wao huo uliwaponza na kesi yao ilianza kupigwa Tarehe na kuwafanya wazidi kuteseka mahabusu.
Taarifa za uhakika nilizonazo kutoka familia ya Seth zinadai kwamba, ndugu wa Seth (wanafamilia na jumuiya za kisingasinga) waliona isiwe tabu, haijulikani lini mahakama itatoa haki,kwa kuwa pesa hutafutwa na uhai hautafutwi,waliona bora walipe pesa ili yaishe, Kama ujangili ni nini hicho?
Malipo ni hapa hapa Duniani, serikali ya CCM kazaneni kuonea watu, before you pay the price, and your time has drawn nigh....
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Mkuu mnasema sana bila hata kujua mnazungumzia kitu gani? Ila kwa kuwa watanzania wana uhuru wa kuongea hakuna kosa lolote unalo lifanya, ila unaanika ubongo wako kwa wanaofahamu tatizo ni nini waweze kusoma kwa ufasaha ubongo wako na unaofanana não.Hivi tangu lini DPP akabeba mamlaka ya mahakama?
Tulikaa kimya kwa sababu kesi ya Habinder Seth na Rugemalira ilikuwa bado mahakamani, huwezi kuongea lolote kesi inapokuwa mahakamani, kwa sababu mahakama ni sehemu ya Haki.
Eti Seth amekiri kwa DPP kwenye formal statement kwamba yeye ana makosa na kwa hiyo alipe Bil. 26 Kama faini.
Huu ni ujangili wa serikali kwa raia wake, yaani Serikali inapora pesa kwa nguvu ilizonazo dhidi ya watu wenye pesa.
Kwa wasiojua hii ishu ilianza kipindi cha Hayati Magufuli, si tu Seth na Rugemalira bali watuhumiwa wengi wenye ukwasi mkubwa waliokuwa mahabusu walishurutishwa kukiri makosa yao kwa maandishi ili walipe faini na kutoka mahabusu.
Baadhi walifuata masharti hayo ya kijangili ya Serikali na walilipa faini na kutoka.
Seth na Rugemalira waligoma wakitaka haki itende Mahakamani, yaani mahakama ndo iamue endapo wana hatia au la.
Msimamo wao huo uliwaponza na kesi yao ilianza kupigwa Tarehe na kuwafanya wazidi kuteseka mahabusu.
Taarifa za uhakika nilizonazo kutoka familia ya Seth zinadai kwamba, ndugu wa Seth (wanafamilia na jumuiya za kisingasinga) waliona isiwe tabu, haijulikani lini mahakama itatoa haki,kwa kuwa pesa hutafutwa na uhai hautafutwi,waliona bora walipe pesa ili yaishe, Kama ujangili ni nini hicho?
Malipo ni hapa hapa Duniani, serikali ya CCM kazaneni kuonea watu, before you pay the price, and your time has drawn nigh....
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Kuna uwezekano kesi hii ikafungua njia ya kudai uhalali wa mchakato mzima.Hivi tangu lini DPP akabeba mamlaka ya mahakama?

Seth wa wapi? KIshafika India wewe bado unahangaika na kesi hiyo?Hivi tangu lini DPP akabeba mamlaka ya mahakama?

Wezi mutalia sana!Serikali iliyopita ilikuwa haina tofauti na genge la EXTORTIONISTS!
Kitu hujui kaa kimya! Mtu ameiba 350B anatozwa 26B huyo ni JKHivi tangu lini DPP akabeba mamlaka ya mahakama?
Tulikaa kimya kwa sababu kesi ya Habinder Seth na Rugemalira ilikuwa bado mahakamani, huwezi kuongea lolote kesi inapokuwa mahakamani, kwa sababu mahakama ni sehemu ya Haki.
Eti Seth amekiri kwa DPP kwenye formal statement kwamba yeye ana makosa na kwa hiyo alipe Bil. 26 Kama faini.
Huu ni ujangili wa serikali kwa raia wake, yaani Serikali inapora pesa kwa nguvu ilizonazo dhidi ya watu wenye pesa.
Kwa wasiojua hii ishu ilianza kipindi cha Hayati Magufuli, si tu Seth na Rugemalira bali watuhumiwa wengi wenye ukwasi mkubwa waliokuwa mahabusu walishurutishwa kukiri makosa yao kwa maandishi ili walipe faini na kutoka mahabusu.
Baadhi walifuata masharti hayo ya kijangili ya Serikali na walilipa faini na kutoka.
Seth na Rugemalira waligoma wakitaka haki itende Mahakamani, yaani mahakama ndo iamue endapo wana hatia au la.
Msimamo wao huo uliwaponza na kesi yao ilianza kupigwa Tarehe na kuwafanya wazidi kuteseka mahabusu.
Taarifa za uhakika nilizonazo kutoka familia ya Seth zinadai kwamba, ndugu wa Seth (wanafamilia na jumuiya za kisingasinga) waliona isiwe tabu, haijulikani lini mahakama itatoa haki,kwa kuwa pesa hutafutwa na uhai hautafutwi,waliona bora walipe pesa ili yaishe, Kama ujangili ni nini hicho?
Malipo ni hapa hapa Duniani, serikali ya CCM kazaneni kuonea watu, before you pay the price, and your time has drawn nigh....
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
The government belongs to nobodyHivi tangu lini DPP akabeba mamlaka ya mahakama?

Mimi Kama mtanzania halisi kwa akili yangu timamu bila kushawishiwa na mtu yeyote naapa kuwa sitachangia Uzi huu kwa kuwa Alie uandika Uzi huu hajui chochote kuhusu escrow ee Mungu nisaidie.Hivi tangu lini DPP akabeba mamlaka ya mahakama?
Tulikaa kimya kwa sababu kesi ya Habinder Seth na Rugemalira ilikuwa bado mahakamani, huwezi kuongea lolote kesi inapokuwa mahakamani, kwa sababu mahakama ni sehemu ya Haki.
Eti Seth amekiri kwa DPP kwenye formal statement kwamba yeye ana makosa na kwa hiyo alipe Bil. 26 Kama faini.
Huu ni ujangili wa serikali kwa raia wake, yaani Serikali inapora pesa kwa nguvu ilizonazo dhidi ya watu wenye pesa.
Kwa wasiojua hii ishu ilianza kipindi cha Hayati Magufuli, si tu Seth na Rugemalira bali watuhumiwa wengi wenye ukwasi mkubwa waliokuwa mahabusu walishurutishwa kukiri makosa yao kwa maandishi ili walipe faini na kutoka mahabusu.
Baadhi walifuata masharti hayo ya kijangili ya Serikali na walilipa faini na kutoka.
Seth na Rugemalira waligoma wakitaka haki itende Mahakamani, yaani mahakama ndo iamue endapo wana hatia au la.
Msimamo wao huo uliwaponza na kesi yao ilianza kupigwa Tarehe na kuwafanya wazidi kuteseka mahabusu.
Taarifa za uhakika nilizonazo kutoka familia ya Seth zinadai kwamba, ndugu wa Seth (wanafamilia na jumuiya za kisingasinga) waliona isiwe tabu, haijulikani lini mahakama itatoa haki,kwa kuwa pesa hutafutwa na uhai hautafutwi,waliona bora walipe pesa ili yaishe, Kama ujangili ni nini hicho?
Malipo ni hapa hapa Duniani, serikali ya CCM kazaneni kuonea watu, before you pay the price, and your time has drawn nigh....
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Watu washasahau sijui hiliHapa nasubiri kauli ya wabunge waliotueleza kuwa Seth na wenzake walibeba mpunga, noti, ndululu, chapaa, faranga, fedha, mane, hela za serikali kutoka pale kwenye Kibubu Cha Taifa kwenye magunia na masandaruzi.
Sasa Hawa jamaa kama kipindi kile walitudanganya basi sawa, na kama walikuwa wanaishambulia serikali ili tu kuishinikiza imuonee Seth basi hawa jamaa nao ni wa kulaumiwa kwakweli!