Kesi ya sheikh ilunga eti ushahidi haujakamilika

dostum

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
215
Reaction score
110
Kama tunavyojua Sheikh Ilunga alikamatwa Tabora na si kama ilivyo kawaida anapokamatwa kiongozi wa kiislam. safari hii imetumika staili ya kizenzi, kakamatwa tabora na kaambiwa anahitajika mwanza aende mwenyewe. Na baada ya kufika mwanza kafunguliwa mashtaka ya uchochezi.

Naam, Yupo kitaa na kesi imeahirishwa hadi januari 6 kutokana na ushahidi haujakamilika

Ushahidi haujakamilika au hana kesi ya kujibu kwa uchochezi. Kwa mujibu wa kauli yake alikuwa anatamani sana afunguliwe kesi hiyo ya uchochezi ili jamii ipate maana halisi ya uchochezi. na jamii ijue iwapo kusema ukweli ni uchochezi? au kuwa na fikra mbadala nje ya siasa au tofauti na watawala ni kosa? Na kwanini watu wamuhukumu kwa kumuelewa vibaya alisisitiza.

Mwisho anaamini hana kesi ya kujibu zaidi polisi kufunika kombe na kuwaridhisha jamii kuwa serikali inafata misingi ya utawala bora na kufumbia mambo uhuru wa kuongea uliopo.
 

ni vyema uende wewe ili ukakamilishe ushahidi
 
Kauli za Ilunga zinasikitisha sana. Kinachosikitisha zaidi ni kwamba wanajitokeza vijana kutetea kauli za namna ile!!!

Kisingizio cha uhuru wa kuwa na maoni yake kinatumika vibaya. Ni sawa kabisa na Mzee Mtei, Muasisi wa Chadema, alipotoa kauli za kibaguzi halafu chama chake kikatoa kisingizio kwamba ana haki ya kuwa na maoni yake binafsi.
Kauli zinazodhoofisha umoja na amani yetu zinapaswa kukemewa na watu wote wenye mapenzi mema na nchi yetu...
 
Alipitia dubai akitoka india alipopelekwa kutibiwa na dola badala ya kukamatwa. Huko dubai amejazwa mihela na wafadhili wa ugaidi. Ukiwa na mihela polisi gani tz anaweza kukukamata? Halafu anaonyesha jeuri na kejeli kwani kueleza ukweli kwake ndio hizo kashfa na kejeli kwa imani ya wengine. Ilunga hatambui wala haheshimu uhuru wa wengine kuabudu dini yao na dola inamtazama. Uvumilivu una mwisho.
 
sasa mkuu unabishana na vyombo vya sheria? mbona hii ndio kawaida yao!
 
Kusema ukweli ndio uchochezi? Mwache aongee ana uhuru
Ukweli gani kwa mambo ya imani ya dini? Watu mkiitwa vilaza mnachukia,... Hivi ukweli wa imani yako ya dini inawezaje kua ukweli kwa mtu wa imani ya dini tofauti kama sio kutafuta ugomvi tu! Kwa tafsiri yoyote ilunga ni mchochezi na alitakiwa awe jela. Hii serikali ya ccm inayowalea wanaotafuta riziki kwa kukejeli imani za wengine kama ilunga itakuja lipa deni kubwa amani itakapopotea.
 
Ushahidi ukikamilika hana kesi ya kujibu. Niwekeni kwny kumbukumbu mtaja nikubalia
 
 

Fanyeni action basi vijana wako tayari sio kila siku mnakalia kuzungumzia jambo moja tu

Inaonekana Ilunga ni muhimu sana maishan mwenu maana hamuishi kumtamka katika vinywa nyenu!!!!!!
 
hii ndo Tanzania Bongo ukisikia nyingine ni photocopy
 
Kile ni kichwa hakina mfano kijana, hana papara na mambo anajitambua na mpenda hakibila kusahau amani.

Moyo wake unakiri kua ni kichwa ila chuki zake dhidi ya Uislam ndio unampelekea ayachukie haya!!!!!!
 
Kile ni kichwa hakina mfano kijana, hana papara na mambo anajitambua na mpenda hakibila kusahau amani.

Kusema ukweli ndio uchochezi? Mwache aongee ana uhuru

Wewe ndie kilaza usiye na hoja bali umejawa na chuki kubwa juu ya uislam!

Sina sababu hata moja ya kuuchukia Uislam
Maadam mgepata muda na kumsikiliza Ilunga kwenye hiyo link ya youtube na kama mna akili timamu mtaelewa namaanisha nini ninaposema Ilunga ni mchochezi wa kutupwa

nashangaa sijui.kwanini wanamlea huyu gaidi... ushahidi mbona mwingi sana. hata youtube umejaaa.

...Hii serikali inalea magaidi

Mkuu huyu mtu ni hatari kupita maelezo anchojua yeye ni kupandikiza chuki dhidi ya dini nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…