Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Nipe tafsiri ya gaidi
isn't my duty.. consult a.dictionary
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe tafsiri ya gaidi
Huyu kilaza ni mchochezi wa kutisha
Ustadh Ilunga Hassan - Mauaji ya shahid Aboud Rogo na Unafiki katika sensa Part 1 - YouTube
Kile ni kichwa hakina mfano kijana, hana papara na mambo anajitambua na mpenda hakibila kusahau amani.
Kile ni kichwa hakina mfano kijana, hana papara na mambo anajitambua na mpenda hakibila kusahau amani.
Kusema ukweli ndio uchochezi? Mwache aongee ana uhuru
Wewe ndie kilaza usiye na hoja bali umejawa na chuki kubwa juu ya uislam!
Kusema
1.YESU SI MUNGU
2.MUNGU HANA MTOTO
3.MAPADRI WABAKAJI
Huo ni uchochozi? kama ni uchochozi nachochea nini?
Nipe tafsiri ya gaidi
sasa kwanini wenzie wamempindua msikitini kwake?
Si kesi rahisi kama wanavyofikiria.Kama tunavyojua Sheikh Ilunga alikamatwa Tabora na si kama ilivyo kawaida anapokamatwa kiongozi wa kiislam. safari hii imetumika staili ya kizenzi, kakamatwa tabora na kaambiwa anahitajika mwanza aende mwenyewe. Na baada ya kufika mwanza kafunguliwa mashtaka ya uchochezi.
Naam, Yupo kitaa na kesi imeahirishwa hadi januari 6 kutokana na ushahidi haujakamilika
Ushahidi haujakamilika au hana kesi ya kujibu kwa uchochezi. Kwa mujibu wa kauli yake alikuwa anatamani sana afunguliwe kesi hiyo ya uchochezi ili jamii ipate maana halisi ya uchochezi. na jamii ijue iwapo kusema ukweli ni uchochezi? au kuwa na fikra mbadala nje ya siasa au tofauti na watawala ni kosa? Na kwanini watu wamuhukumu kwa kumuelewa vibaya alisisitiza.
Mwisho anaamini hana kesi ya kujibu zaidi polisi kufunika kombe na kuwaridhisha jamii kuwa serikali inafata misingi ya utawala bora na kufumbia mambo uhuru wa kuongea uliopo.