Kesi ya Tundu Lissu: Serikali yawawekea ngumu Wadhamini kujiondoa

Kesi ya Tundu Lissu: Serikali yawawekea ngumu Wadhamini kujiondoa

Wadhamini hao ni Ibrahim Ahmed na Robart Katula, ambapo walifikia hatua hiyo, baada ya kukosa ushirikiano kutoka kwa Lissu kwa kushindwa kufika mahakamani kama mshitakiwa.
Hahaha mmemdhamini yule jamaa!!? Huo ni mtihani kwenu. poleni sana
 
Nachojuuliza usalama wa Lissu wakati wa kampeni uko imara kiasi gani,maana chama cha mbogamboga hawaaminiki
😂😂😂😁😁 Eti chama cha mbogamboga daah!
 
Back
Top Bottom