Kesi ya Tundu Lissu: Serikali yawawekea ngumu Wadhamini kujiondoa

Sialishasema anakuja th.28 mwezi huu jamaniiii haraka ya nini wasubili wamkamate tu!
 
Wadhamini hao ni Ibrahim Ahmed na Robart Katula, ambapo walifikia hatua hiyo, baada ya kukosa ushirikiano kutoka kwa Lissu kwa kushindwa kufika mahakamani kama mshitakiwa.
Hahaha mmemdhamini yule jamaa!!? Huo ni mtihani kwenu. poleni sana
 
Nachojuuliza usalama wa Lissu wakati wa kampeni uko imara kiasi gani,maana chama cha mbogamboga hawaaminiki
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ Eti chama cha mbogamboga daah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…