Kesi ya Uamsho: Sheikh Farid na wenzake wadai kuteswa mahabusu

Kutokana na kuwa na historia ya kujiteka na ,kujipa ultimatum ya kuachiwa,na kujiachia huru,mahakama/mahabusu wameona pia anaweza kujipa sumu kwa kushirikiana uamsho wenzake halafu itangazwe serikali imemdhuru au kumuua no biriani from home!
 
hao waendelee kuishi hukohuko jela ndio yawe makazi yao ya kudumu..
 

Mkuu Mwana Mpotevu, hii imekaaje kisheria kama mtu amekatwa kwa kosa la uchochezi; na bado anafanya uchochezi katika viwanja vya mahakama, si anaendelea kutenda kosa. Aidha, hii inaonyesha kuwa huko Chuo cha mafunzo (jela) hawateswi, wangekuwa wanateswa asingepata nguvu za kuendelea kuwahoji wafuasi wake kuhusu hatma ya Muungano. Yaani mtu aliyeonja mateso ya huko, akikuona tu analia machozi !!!!
 
Last edited by a moderator:
hawautaki muungano mbona hawamuungi mkono kiongozi aliyethubutu kuwasemea dodoma. Znz ni kizungumkuuti ni wanafiki sana wazanzibari
 

Mhuu hawa watu wanajifanya wanaonewa lakini kiukweli wana kiburi sana. Ila serikali na hata vyombo vya usalama vinawaogopa, sijui kwanini
 
Sifurahi mwanadamu mwenzangu kuteswa kwa namna yoyote sio kitu kizuri

Hujafa hujaumbika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…