Kesi ya ubakaji kwa watoto

Kesi ya ubakaji kwa watoto

cutebulbul4

Member
Joined
Sep 9, 2014
Posts
45
Reaction score
1
habari zenu kuna mtoto wa jirani mwenye umri wa miaka mitano amebakwa na mtoto mwenzake wa miaka 10 , swali langu ni sheria inasemaje kuhusu ubakaji uliofanywa na mtoto ? nini hukumu yake?
 
Pole na mkasa!!
Iko hivi mkuu! By virtual of section 130 of the Penal code CAP 16 the very important element of Rape is UNLAWFUL CARNAL KNOWLEDGE...hivyo canal knowledge however slight ni lazma iwe proved as to hold a person criminally liable for rape...LAKINI kulingana kulingana na section 15 of the Penal Code Cap 16 a male person under the age of 12 yrs is PRESUMED to be incapable of having CANAL KNOELEDGE( not criminally liable for rape)...lakini section 15 hiyohiyo inasema mtoto under 12 yrs is not criminally liable for any act/omission unless imekua proved kwamba at the time anafanya hicho kitendo alikua na uwezo wa kuelewa kwamba HAKUTAKIWA kufanya hicho kitendo.....hyo kesi yako liability kwa Rape ni ngumu labda tu kma itakua Proved alikua na uelewa wa hilo kosa( hatua za kinidhamu zitafuatwa LAKINI sio RAPE)
 
Back
Top Bottom