Kesi ya ubakaji na ulawiti ina dhamana?

kivulini

Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
73
Reaction score
40
Wakuu habari zenu?? Tafadhili kwa maenyeuelewa wa masuala ya sheria naomba mwongozo hivi kesi ubakaji na ulawiti je inadhamana..?
Mfano mtuhumiwa amekamatwa kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti mtoto wa miaka saba... wakati bado hajapelekwa mahakamani je anawesa kupata dhamana???
 
Generally, ina dhamana. Ispokuwa kama utairidhisha mahakama kwa uzito wa sababu na hoja kuwa mtuhumiwa asipewe dhamana hiyo.

Makosa hayo sio kati ya yale yasiyodhaminika kwa mujibu wa sheria.
 
Dhamana ni haki ya mtuhumiwa kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Kama kesi bado haijafika mahamani na bado upelelezi unaendelea je bado mtuhumiwa naweza kupewa dhamana???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…