Kesi ya Ubakaji Temeke: Mtoto atoa ushahidi jinsi Ostadhi Shabani alivyomuingizia dudu la kukojolea kwenye bibi yake

Sio kwamba namtetea ustaadhi lakini haya maneno ya huyo mtoto yachunguzwe. Kwa umri wake, shule anayosoma na maeneo anayoishi, hayo maneno aliyotumia na yeye ni vitu viwili tofauti.
 
Na ile wanayokeshaga usiku unakuta wanakesha au kwenye shughuli wakirudi wanakwenda kulala msikitini watoto wote Wa kike na kiume looh
 
ubakaji inayomkabili Shaban Hamid(22).
Ubakaji hauna rikaakini mimi napinga sana kijana mdogo kama huyu wa miaka 22 kupewa madrasa aongoze watoto kuwafundisha.

Asilimia kubwa ya vijana wadogo wanaoachiwa madrasa hawajaowa pia inachangia japokuwa mtu anaweza kuoa na akafanya ukhanithi kama huo.
 
2019 leo 2021??? Hawa wamama wa siku hizi wapoje? Mtoto wako wa Kike unashindwa kumgundua hata kutembea?
 
shabani madobe
 
.Naona Ostadh ni mfuasi wa uzi wa kula tunda kimasihara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ustaadhi anashindwa kutumia katiba inayomruhusu kumiliki wake mpaka wanne anaamua kufungua njia kwa vibinti vidogo kama hivyo ambavyo pengine bado vinajikojelea kitandani?
 
Vitendo Kama hivyo ni viovu inatakiwa vikomeshwe visiludiwe tena
 
Siku anapokelewa usiku lazima aliwe kiboga kwani huwa tunaulizana kesi iliyokuleta.Na kama ni ya kiboya tunakudonoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…