ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Aliyeua hadharani nani? Mbona unajitoa fahamu wewe?Nalijua hilo kwamba kes moja bado , lakn usijitie kipofu kwamba huon kilichotokea. Wamehukumiwa makosa kwa siraha iliyotumika kuua maana yake wamepatikana na kosa la kuua .
Huwez kumtia mtu hatian kwa kupatkana na kosa la kudungua denge akakosekana na kosa la mauaji. Ameshindwa kufanya hvyo yule hakmu coz mahakama haina mamlaka hiyo!!
Lakn swali liko zaid ya moja.
Walioua porin wamepatkana mbona walioua hadharan (mtaan) hawapatkan??????
Waliomteka ulimboka aliwataja na hawakukamatwa!!
Walimuua mwangos peupe mpaka leo hukumu haijapatkana .
Jibu na maswali kama haya !!
Swali kwa vile aliyedunguliwa ni mzungu????