Mtazamaji JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 5,937 Reaction score 1,440 Jul 27, 2010 #1 Wanajamvi hivi hii kesi status yake ikoje. Nimepoteza kummbukumbu. Ilikuwa ni kesi ya kugushi nyaraka za manunuzi ya jengo la ofisi za ubalozi wa tanzania italy.Aliyekuwa Balozi Prof Mahalu alikuwa 1ja wa washtakiwa. Naomba mnipe updates
Wanajamvi hivi hii kesi status yake ikoje. Nimepoteza kummbukumbu. Ilikuwa ni kesi ya kugushi nyaraka za manunuzi ya jengo la ofisi za ubalozi wa tanzania italy.Aliyekuwa Balozi Prof Mahalu alikuwa 1ja wa washtakiwa. Naomba mnipe updates
Mpogoro JF-Expert Member Joined Dec 7, 2008 Posts 387 Reaction score 58 Jul 27, 2010 #2 mtazamaji said: Wanajamvi hivi hii kesi status yake ikoje. Nimepoteza kummbukumbu. Ilikuwa ni kesi ya kugushi nyaraka za manunuzi ya jengo la ofisi za ubalozi wa tanzania italy.Aliyekuwa Balozi Prof Mahalu alikuwa 1ja wa washtakiwa. Naomba mnipe updates Click to expand... Case za "wakubwa" huwa haziishi....
mtazamaji said: Wanajamvi hivi hii kesi status yake ikoje. Nimepoteza kummbukumbu. Ilikuwa ni kesi ya kugushi nyaraka za manunuzi ya jengo la ofisi za ubalozi wa tanzania italy.Aliyekuwa Balozi Prof Mahalu alikuwa 1ja wa washtakiwa. Naomba mnipe updates Click to expand... Case za "wakubwa" huwa haziishi....
Aza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2010 Posts 1,700 Reaction score 230 Jul 28, 2010 #3 mpogoro umeniwacha hoi...ila jamani hii nchi wacheni tu Mungu tu aepushe mbali balaa maana tunatusiwa hadharani na washika nchi tubomoe malango
mpogoro umeniwacha hoi...ila jamani hii nchi wacheni tu Mungu tu aepushe mbali balaa maana tunatusiwa hadharani na washika nchi tubomoe malango