Kesi ya ufisadi ubalozi wa itally imefikia wapi?

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,440
Wanajamvi hivi hii kesi status yake ikoje. Nimepoteza kummbukumbu.

Ilikuwa ni kesi ya kugushi nyaraka za manunuzi ya jengo la ofisi za ubalozi wa tanzania italy.Aliyekuwa Balozi Prof Mahalu alikuwa 1ja wa washtakiwa.

Naomba mnipe updates
 
Case za "wakubwa" huwa haziishi....
 
mpogoro umeniwacha hoi...ila jamani hii nchi wacheni tu
Mungu tu aepushe mbali balaa maana tunatusiwa hadharani na washika nchi

tubomoe malango
 
Back
Top Bottom