Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe kuendelea tena 31/8/2021

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
KAMANDA_WOTE_MASHUJAA,_WAPENDA_HAKI,_WAFIA_CHAMA__tukutane_KIsutu_leo_mapema_kwenye_kesi_ya_mw...jpg

Hii ndio taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa , Kwamba Mwamba mwenyewe , Mtemi Isike , Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar kama anavyofahamika huko Zanzibar , kesho atafika kwenye Mahakama kuu divisheni ya Uhujumu uchumi , maeneo ya SIMU2000 kwenye majengo ya LAW SCHOOL , nje ya jiji la Dar es Salaam , Wilaya ya Ubungo saa 3 asubuhi , ambako mashitaka yake ya kuchongwa yataendelea kusomwa.

Kama kawaida tunatarajia tena lundo la Mabalozi na wadau wetu wa Maendeleo , wakiwemo wawakilishi wa EU na UN kufika kwenye Mahakama hiyo ili kusikiliza kinachoendelea .

Tuendelee kufuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na Maambukizi ya UVIKO

Ujumbe_wa_mchoraji..jpg

UPDATES
========
Muda_huu_Toka_Mahakamani_%0A%0ABaadhi_ya_viongozi_wa_vyama_vya_upinzani_na_mabalozi_wamefika_k...jpg
Mwenyekiti_Taifa,_Mheshimiwa_@freemanmbowetz_(shati_la_kijivu)_akishuka_kwenye_gari_la_magerez...jpg
 
View attachment 1917128

Hii ndio taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa , Kwamba Mwamba mwenyewe , Mtemi Isike , Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar kama anavyofahamika huko Zanzibar , kesho atafika kwenye Mahakama kuu divisheni ya Uhujumu uchumi , maeneo ya SIMU2000 kwenye majengo ya LAW SCHOOL , nje ya jiji la Dar es Salaam , Wilaya ya Ubungo saa 3 asubuhi , ambako mashitaka yake ya kuchongwa yataendelea kusomwa.

Kama kawaida tunatarajia tena lundo la Mabalozi na wadau wetu wa Maendeleo , wakiwemo wawakilishi wa EU na UN kufika kwenye Mahakama hiyo ili kusikiliza kinachoendelea .

Tuendelee kufuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na Maambukizi ya UVIKO

View attachment 1917131
Kwani kirungu kaambiwa,kuna nini,hapo hajaambiwa kuna ubambikiaji?
 
Gaidi kesho anapanda kizimbani?,kumbe!
 
Back
Top Bottom