Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kwani kirungu kaambiwa,kuna nini,hapo hajaambiwa kuna ubambikiaji?View attachment 1917128
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa , Kwamba Mwamba mwenyewe , Mtemi Isike , Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar kama anavyofahamika huko Zanzibar , kesho atafika kwenye Mahakama kuu divisheni ya Uhujumu uchumi , maeneo ya SIMU2000 kwenye majengo ya LAW SCHOOL , nje ya jiji la Dar es Salaam , Wilaya ya Ubungo saa 3 asubuhi , ambako mashitaka yake ya kuchongwa yataendelea kusomwa.
Kama kawaida tunatarajia tena lundo la Mabalozi na wadau wetu wa Maendeleo , wakiwemo wawakilishi wa EU na UN kufika kwenye Mahakama hiyo ili kusikiliza kinachoendelea .
Tuendelee kufuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na Maambukizi ya UVIKO
View attachment 1917131
πππKwani kirungu kaambiwa,kuna nini,hapo hajaambiwa kuna ubambikiaji?
Gaidi kesho anapanda kizimbani?,kumbe!View attachment 1917128
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa , Kwamba Mwamba mwenyewe , Mtemi Isike , Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar kama anavyofahamika huko Zanzibar , kesho atafika kwenye Mahakama kuu divisheni ya Uhujumu uchumi , maeneo ya SIMU2000 kwenye majengo ya LAW SCHOOL , nje ya jiji la Dar es Salaam , Wilaya ya Ubungo saa 3 asubuhi , ambako mashitaka yake ya kuchongwa yataendelea kusomwa.
Kama kawaida tunatarajia tena lundo la Mabalozi na wadau wetu wa Maendeleo , wakiwemo wawakilishi wa EU na UN kufika kwenye Mahakama hiyo ili kusikiliza kinachoendelea .
Tuendelee kufuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na Maambukizi ya UVIKO
View attachment 1917131
Karibu sana MahakamaniNgoja tuone!
wewe ni miongoni mwa vijana duni wa ccmGaidi kesho anapanda kizimbani?,kumbe!
Mungu ni mwemaKila la kherii Mh Mbowe, Mungu akusimamie