Kesi ya Ugaidi ya Kilewo yakatiwa Rufaa na Serikali

CHADEMA ni kama chaka cha wahalifu. maana viongozi wake wengi wanakabiliwa na mashtaka kila kona
 
wewe bi mkubwa mwekundu,

pole sana. buku7 mnazolipwa kwa siku kukaa kwenye mitandao kushambulia cdm zinawasumbua sana.

 

Hivi we unaongeaga vitu vya maana kweli
 
Jaribu kutumia akili vizuri email unayosema mbona haina mantiki hata chembe ilikuwa ya kubumba ili kupata hoja kwa chadema japo haikuwa na maana.

Nyinyi hata iwe kweli vp, hamwezi kukubali
 
Ndiyo mawazo yako?
 
Pole sana ewe Mtanzania uliyepumbaa akili au niseme siwezi au niseme hivi,hakuna hata mtu mmoja atakayekulaumu kwa kuwa hafahamu kile kiitwacho sheria fullstop. Kwa aina ya watu kama nyie nchii bado sana tu kufikia malengo tutasubiri sana wenzetu Kenya,Rwanda,Uganda hadi South Sudan wanachnja mbuga huku Tanzani inafukuzana na sinema za Ugaidi lol ngoja yatokee kama yaliyotokea Westgate Mall hapo sijui itaitwa nini vile.pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…