Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Haya yote yamesemwa jana na mawakili wa Utetezi wakati wa cross examination, ambapo walimhusisha SP JUMANNE na kutekwa kwa Erick Kabendera, Titto Magoti, Ben Saanane na kwamba alihusika na Shambulio la Lissu.
Shahidi SP JUMANNE alihojiwa pia kuhusu Uhusiano wake na Paulo Makonda.
MUHIMU: Kuna haja ya watanzania kumfahamu zaidi shahidi huyu muhimu kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu
Shahidi SP JUMANNE alihojiwa pia kuhusu Uhusiano wake na Paulo Makonda.
MUHIMU: Kuna haja ya watanzania kumfahamu zaidi shahidi huyu muhimu kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu