pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Hawa watu walifikiri uovu wao utasitirika milele.Wasiojulikana wameanza kujulikana
damu za watu 'huita' kwa damu, ouvu hulipwa kwa uovu
Laana ya damu itatembea nanyi hadi kifo cha aibu na mateso.