Kesi ya Ugaidi yazidi kufichua Mazito. Shahidi aulizwa kuhusu utekaji wa Ben Sanane, Magoti na shambulio la Lissu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Haya yote yamesemwa jana na mawakili wa Utetezi wakati wa cross examination, ambapo walimhusisha SP JUMANNE na kutekwa kwa Erick Kabendera, Titto Magoti, Ben Saanane na kwamba alihusika na Shambulio la Lissu.

Shahidi SP JUMANNE alihojiwa pia kuhusu Uhusiano wake na Paulo Makonda.

MUHIMU: Kuna haja ya watanzania kumfahamu zaidi shahidi huyu muhimu kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu
 
Mkuu usikate tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…