Kumradhi: Tawabu, jinsia gani...?WAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI BRENDA RUPIA MAHAKAMANI
SEHEMU YA 13.
Tawabu: Sasa nakupa kamusi usome kuhusu neno uasi.
Brenda: (Anasoma) Uasi ni kitendo cha kuwapinga wenye mamlaka.
Tawabu: Mbona unaruka hiyo ya juu?
Tawabu: Ulituambia maneno ya uasi yalitoka kutoka kwa G55.
Brenda: Ni sawa.
Tawabu: Katika mkutano wenu, hao G55 waliongea?
Brenda: Hawakuongea.
Tawabu: Utakubaliana na mimi kuwa hii ni Mahakama ya sheria, siyo hisia?
Brenda: Nakubaliana.
Tawabu: Na maana ya hii Mahakama itatokana na sheria, siyo hisia ya mtu?
Brenda: Nakubaliana.
Tawabu: Ulisema ulikamatwa na Polisi, lakini haukupelekwa Mahakamani?
Brenda: Ndiyo.
Tawabu: Kwa hiyo, upo tayari wakupeleke sasa Mahakamani?
Brenda: Kwa lipi?
Tawabu: Nauliza tu, upo tayari kupelekwa Mahakamani?
Brenda: Kama wanaona nina mashtaka, wapeleke Mahakamani.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
Huna akiliBrenda bhana -> Uchaguzi upo kwa mujibu wa sheria, ameulizwa ukivunja sheria utakuwa umetenda kosa anasema hapana.
Tukiwaambia CHADEMA ni kundi la wapumbavu mnakataa
Yaani Hadi saivi hawa mawakili wa serikali wanawaza sijui wamuulize swali gani
Tusimalize manenoBrenda ni kichwa sana
Tumpe maua yake
Muembieni Tawabu mtu mzima hatishiwi Nyau 😎.Tawabu: Kwa hiyo, upo tayari wakupeleke sasa Mahakamani?
Brenda: Kwa lipi?
Tawabu: Nauliza tu, upo tayari kupelekwa Mahakamani?
Brenda: Kama wanaona nina mashtaka, wapeleke Mahakamani.
Mawakili wa Serikali kwenye vichwa vyao sijui wamejaza Nini? Wana mpa point 3 za bure Tundu LissuNimeona Diamond..Mboso😀😀😀
Huna akili
SAHIHI KABISAHuna akili
All eyes mkuu manyanza…WAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI BRENDA RUPIA MAHAKAMANI
SEHEMU YA 14.
Anasimama Job Mrema
Job Mrema: Shahidi, nina maswali machache ili kuisaidia Mahakama.
Job Mrema: Shahidi, ni usahihi kwamba ulishiriki katika mkutano wa tarehe 03?
Brenda: Nilishiriki.
Job Mrema: Nataka uiambie Mahakama kuhusu yale mashtaka ambayo amekusomea hapa. Aliungwa mkono au hakuungwa mkono?
Brenda: Sijui.
Job Mrema: Lakini unaiambia Mahakama kwamba ulikuwepo?
Brenda: Nilikuwepo.
Job Mrema: Hebu iambie Mahakama, hii ni majukumu yako yapi mahususi?
Brenda: Ni pamoja na kusimamia itifaki ya ndani na mikutano ya hadhara endapo Naibu Katibu Mkuu hayupo.
Job Mrema: Ni sahihi kwamba wewe ni Mkurugenzi wa Mawasiliano? Ni mambo gani hasa unayafanya?
Brenda: Mimi huwa in charge katika masuala ya habari, kuita waandishi wa habari kuja kufanya coverage. Na kupitia hao waandishi wa habari, mimi pia nina-oversee utendaji wa kazi ambao utafanywa na watu walio chini yangu.
Job Mrema: Nitakuwa sahihi nikisema kwamba wewe siyo Mkurugenzi wa Mawasiliano, ni Afisa Ualikaji?
Brenda: Itakuwa umekosea. Nimesema mimi pia nasimamia watu walio chini yangu.
Job Mrema: Watu waliopo chini yako wanafanya nini kuhusiana na Mawasiliano?
Brenda: Wanawasiliana na waandishi wa habari. Wanafanya kazi zangu on behalf. Wanatoa matangazo kwa niaba ya Mkurugenzi.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
Huyu boya anataka majibu ya mahakamani yawe kama yale ya kwenye vijiwe vyake vya kahawa hajui kama Kila jibu Lina ufafanuzi wakeHuna akili
Diamond kahusikaje ukisikia mashambulizi ya kichwa ni kama haya mpaka muuliza anatoka kwenye mstariTawabu: Ili uwe Sekretarieti ni lazima uitwe John?
Brenda: Siyo kweli. Mbona mimi naitwa Brenda?
Aiseee !
Mara unamjua daimondi 🤣🤣
sio kweli mkuu. Sio kweli hata kidogo. Weka akiba ya maneno. Utamuona Wagesa kizimbani sio muda.Kweli mwenye Akili ni Heche tu kamtanguliza Dada mbele kwa Mwenyekiti❗️
Si tunaona yeye kawekwa wa mwisho kutoa Ushahidi ili kwanza ajifunze kupitia wengine field ya macho kwa macho na kusikia‼️
CCM hakuna warembo kule, kuna mijangili, mishangingi, milevi, mijizi, mimalaya.
Wamechanganyikiwa balaaa wamekutana na kisiki cha mpingo.Huyo dada apewa maua yake kwa kutendea haki cheo chake.Yaani hawa mawakili Leo wamepoteana hata maswali wamekosa daah ama kweli yaani uongo ni uongo tuh hata uupake rangi vipi
Hapa naona wanamtisha ili atoke nje ya reli eti upo tayari kupelekwa mahakamani jibu la Brenda lakibabeWAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI BRENDA RUPIA MAHAKAMANI
SEHEMU YA 13.
Tawabu: Sasa nakupa kamusi usome kuhusu neno uasi.
Brenda: (Anasoma) Uasi ni kitendo cha kuwapinga wenye mamlaka.
Tawabu: Mbona unaruka hiyo ya juu?
Tawabu: Ulituambia maneno ya uasi yalitoka kutoka kwa G55.
Brenda: Ni sawa.
Tawabu: Katika mkutano wenu, hao G55 waliongea?
Brenda: Hawakuongea.
Tawabu: Utakubaliana na mimi kuwa hii ni Mahakama ya sheria, siyo hisia?
Brenda: Nakubaliana.
Tawabu: Na maana ya hii Mahakama itatokana na sheria, siyo hisia ya mtu?
Brenda: Nakubaliana.
Tawabu: Ulisema ulikamatwa na Polisi, lakini haukupelekwa Mahakamani?
Brenda: Ndiyo.
Tawabu: Kwa hiyo, upo tayari wakupeleke sasa Mahakamani?
Brenda: Kwa lipi?
Tawabu: Nauliza tu, upo tayari kupelekwa Mahakamani?
Brenda: Kama wanaona nina mashtaka, wapeleke Mahakamani.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
Ficha huu ujinga haraka sana!! Unawapangia watu nani aanze kutoa ushahidi? Kwa nini hujauliza mbona Leo Katuga hajaanza kumhoji shahidi? Hivi machawa wa CCM tumekuaje sasa hivi yani tunatetea ujinga alafu wanaofaidika ni wakina Abdul huko zanzibarKweli mwenye Akili ni Heche tu kamtanguliza Dada mbele kwa Mwenyekiti❗️
Si tunaona yeye kawekwa wa mwisho kutoa Ushahidi ili kwanza ajifunze kupitia wengine field ya macho kwa macho na kusikia‼️
Maswali si hana na pia anataka kumchanganyaDiamond kahusikaje ukisikia mashambulizi ya kichwa ni kama haya mpaka muuliza anatoka kwenye mstari