ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Upo sahihi kua wakili kutetea maovu inabidi u switch on ujinga hata kama upo timamuAnaweza kuwa na akili ila asikwambie mtu kutetea uongo na unajua kabisa huu ni uongo na unataka uwe ukweli ni kitu kigumu sana hapa ndipo Kuna wakati mawakili wanatokea nje ya mstari na Hana jinsi kwasababu ya kutaka maslahi ndio anajikuta afanye hivyo.Moja kati ya kazi ngumu ni kuwa wakili kama umeokoka au unampenda Mungu hii kazi hupaswi kuifanya labda kama ukae kwenye upande wa haki ila reality hela nyingi ipo kwa wasio na haki.
ok.Nyang'au mtaula wa chuya.
π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯Hivi machawa wa CCM tumekuaje sasa hivi yani tunatetea ujinga alafu wanaofaidika ni wakina Abdul huko zanzibar
Fananisha hapo mkuuππmuhimu sijakutajia Thawabu ni dini gani ila tafutatafuta hapoShukrani kwa majibu haya, na nimepata kitu fulani kwenye hili
Kama Rupia ni Kishoka na hawa ni Vijembe ?. Bado sijaona hoja za mawakili wa serikali.. Bure kabisaWAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI BRENDA RUPIA MAHAKAMANI
SEHEMU YA 15.
Job Mrema: Kwa hiyo, kwa maana hiyo, moja ya majukumu yako ni kuhabarisha umma?
Brenda: Ndiyo.
Job Mrema: Utakubaliana na mimi kwamba moja ya sheria inayosimamia masuala ya habari ni Media Services Act?
Brenda: Ni sahihi.
Job Mrema: Na wewe ukiwa kama Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi huwa unaitumia?
Brenda: Huwa inatumika.
Job Mrema: Inatumika na nani?
Brenda: Walio chini yangu na mimi huwa naitumia.
Job Mrema: Wewe umesoma nini?
Brenda: Accounting.
Job Mrema: Nitakuwa sahihi nikisema wewe siyo Mwandishi wa Habari?
Brenda: Mimi siyo Mwandishi wa Habari.
Job Mrema: Na wewe hujasoma habari?
Brenda: Sijasoma.
Job Mrema: Ndugu Shahidi, umewahi kusikia neno Kishoka?
Brenda: Sijawahi kulisikia.
Job Mrema: Utakubaliana na mimi kwamba mtu yeyote anayefanya kazi ya kutoa huduma ya habari na hana sifa ya kutoa huduma hiyo ya habari anakiuka maadili ya utoaji habari hapa nchini?
Brenda: Sijui.
Job Mrema: Ni sahihi sasa kwa majibu yako, unawaeleza Waheshimiwa Majaji kwamba uliokuwa unafanya CHADEMA kazi ya kuhabarisha umma, huhitaji kuwa na sifa za sheria ya habari?
Lissu: Waheshimiwa Majaji, ni sahihi wakili anapiga makelele kwa shouting?
Jaji Ndunguru: Naomba tuamini kwamba ni sauti yake.
Job Mrema: Ni sahihi sasa kwa majibu yako, unawaeleza Waheshimiwa Majaji kwamba uliokuwa unafanya CHADEMA kazi ya kuhabarisha umma, huhitaji kuwa na sifa za sheria ya habari?
Brenda: Siyo sahihi.
Job Mrema: Kama nimekusikia vizuri, Ndugu Shahidi, ulieleza Mahakama hapa kwamba taaluma ya habari siyo requirement katika hiyo idara ya habari?
Brenda: Siyo sahihi.
Job Mrema: Wewe sasa, kama afisa na kama Mkurugenzi wa Mawasiliano usiye na sifa zinazoainishwa katika sheria ya habari...
Brenda: Siyo sahihi.
Job Mrema: (Anapekua kamusi) Utakubaliana na mimi mtu yeyote anayefanya kazi ya kuhabarisha umma asiye kuwa na sifa ni kanjanja?
Brenda: Sifahamu.
Lissu: Waheshimiwa Majaji, nina shida na hilo. Wakili analeta maneno ya kikabila chao, anataka shahidi anayajue.
Jaji Ndunguru: Ndiyo maana tulitaka arudie.
Job Mrema: Utakubaliana na mimi mtu yeyote anayetoa huduma ya utoaji habari na hana sifa ya utoaji habari kwa mujibu wa sheria, atakuwa hana sifa ya utoaji habari?
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
Hata wewe hujaelewa kilichoulizwa ila hufichi ukweli kwamba wewe ni chawa tu.Brenda bhana -> Uchaguzi upo kwa mujibu wa sheria, ameulizwa ukivunja sheria utakuwa umetenda kosa anasema hapana.
Tukiwaambia CHADEMA ni kundi la wapumbavu mnakataa
KWELI KABISAHata wewe hujaelewa kilichoulizwa ila hufichi ukweli kwamba wewe ni chawa tu.
Achana na hilo jinga. Unapoteza muda tu kujibishana nalo. Liweke kwenye ignore listHata wewe hujaelewa kilichoulizwa ila hufichi ukweli kwamba wewe ni chawa tu.
Presha inapanda β¦. Volume inapandaβ¦.. mambo ni π₯π₯πLissu: Waheshimiwa Majaji, kama wakili hawezi kutumia sauti ya kawaida, atumie microphone.
Wakili Job Mrema: (Anazungumza kama yupo mnadani.)
***** lipigwa mitihakuna mtuhumiwa yeyote yule atakua nje ya castody Tanzania gentleman.
hakuna huruma, aibu wala haya kwenye masuala ya kihalifu au ukiukaji wa sheria na katiba ya nchi kwa makusudi Tanzania.
waambie na wafuata mkumbo wenzako kuhusu hili bila kificho gentleman na itapendeza zaidi π
Lengo lao wapate namna yakumtoa kwenye reli, kumpanikisha ndio maana wamemuuliza Hilo swali ili hajione mnyongeKama Rupia ni Kishoka na hawa ni Vijembe ?. Bado sijaona hoja za mawakili wa serikali.. Bure kabisa
1. Kenani Laban Kihongosi (Waziri/Katibu wa Sasa)
2. Amos Gabriel Makalla
- Alichukua nafasi: Agosti 2025.
- Usuli wake: Alisoma masuala ya Usimamizi wa Maendeleo ya Jamii (Community Development).
3. Paul Christian Makonda
- Kipindi: 2024 hadi Agosti 2025.
- Usuli wake: Kitaaluma ana elimu ya Uhasibu na Utawala (Accountancy and Administration).
4. Sophia Mjema
- Kipindi: Oktoba 2023 hadi Aprili 2024.
- Usuli wake: Alisoma masuala ya Ushirika na Maendeleo ya Biashara (Co-operative Management and Accounting).
5. Shaka Hamdu Shaka
- Kipindi: Januari 2023 hadi Oktoba 2023.
- Usuli wake: Amesomea masuala ya Utawala wa Biashara na Uhusiano wa Kimataifa (International Relations).
6. Nape Moses Nnauye
- Kipindi: Aprili 2021 hadi Januari 2023.
- Usuli wake: Ana elimu ya Utawala wa Umma na Uhusiano wa Kimataifa (Public Administration and International Relations).
7. Kapteni John Zefania Chiligati
- Kipindi: 2011 hadi 2016.
- Usuli wake: Alisoma Shahada ya Sayansi ya Jamii na Siasa (Social Sciences / Public Administration)
- Kipindi: Mapema miaka ya 2000 hadi 2011.
- Usuli wake: Alikuwa Ofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na mtaalamu wa masuala ya utawala wa umma.
Wanafikiri CHADEMA ni CCM.Mifumo ya Chadema NA CCM ni vitu viwili tofauti. Hata huyu Makamu wa Rais wa sasa bwana Ndejembi ni Kinyume cha cha Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwepo kwenye nafasi aliyo na nayo kwa umri alionao.Lengo lao wapate namna yakumtoa kwenye reli, kumpanikisha ndio maana wamemuuliza Hilo swali ili hajione mnyonge
ππππ Dah!Ndugu zangu nina wasi wasi ya kuwa huyo Brenda ni binti kiziwi
Anajitahidi sana Brenda. Japo sio mzoefu.Lengo lao wapate namna yakumtoa kwenye reli, kumpanikisha ndio maana wamemuuliza Hilo swali ili hajione mnyonge
Kama kweli ni wewe, Naomba nikuambie ya moyoni ππππππ Dah!
Mi hata kadi ya chama sina, mdomo tu humu. Ila huwa nachangia chama.
Dah mkuu sio mimi!Kama kweli ni wewe, Naomba nikuambie ya moyoni ππ