Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri haijaanza hadi sasa, Huenda kesi isioneshwe live Leo

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
25,522
Reaction score
40,795
Inaonekana Leo mahakama inaweza isioneshe kesi ya Lissu Live. Maana mpaka muda huu wanashauriana kama wairushe live au lah. Hii ni kuandaa watu kisaikolojia pale itakapotangazwa ya kwamba mahakama imekubaliana na ombi la wakili wa serikali.
 
Lisu mwenyewe alikataa kesi yake isiendeshwe kwa mtandao
Alitaka ahudhurie mahakamani sio kwa mtandao akiwa gerezani

Sawa tu hata isipoonyeshwa live

Hakuna kifungu cha sheria watakachokuwa wamevunja kwa kutoobyesha live
 
Hata hujui unachosema. Lissu alipinga kesi kuendeshwa kwa mtandao akiwa gerezani. Ina maana kesi inasikilizwa na hakimu akiwa Kisutu na mawakili wa Lissu, halafu mawakili wa serikali wakiwa gerezani na Lissu. Ina maana Lissu alikatazwa kufika Mahakamani.

Kwa Sasa ni kuhusu kesi kuoneshwa live na online TV na sio mtandao wa mahakama baina ya parties pekee.
 
Back
Top Bottom